Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Wahusika wenyewe yaani Sepetunga na Mwenyekiti wanasemaje?,maana nilisikia mahali huyo binti akisema hiyo sauti ni yake!,Hawa viongozi wetu ni binadamu wa kawaida,sio malaika hawa, wanapenda, na kutamani pia..
 
Kama kweli wameshiriki kuruhusu kuchafuliwa kwa Mbowe hakika wamefanya vibaya sana na credibility ya mtandao huu itashuka ghafla. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kukubaliana na ujinga wa namna hii.
 
Reactions: BAK
Tunasubiri yule dada wa USA aamke..itakua kalala

Yeye analeta za mkubwa
 
UMnajitekenya na kucheka wenyewe,mnastage maongezi ili kushusha heshima ya CDM!Hamtofanikiwa,namna pekee ya kuwin mioyo ya watanzania ni kutimiza ahadi zenu za uchaguzi na si kuchafua upinzani!
pesa ya ruzuku ya chama Mbowe anampandisha ndege Wema kwenda kuchepuka.....halafu nyie mnashangilia nyie watu ni wakuhurumia sana
 
Sijaona sababu ni kwanini watu wanataka kujui Ukweli au uongo. Ingekuwa wote ni watu wa jinsia moja basi ingekuwa ni habari..!
 
pesa ya ruzuku ya chama Mbowe anampandisha ndege Wema kwenda kuchepuka.....halafu nyie mnashangilia nyie watu ni wakuhurumia sana
Hahahahaa,hamna hoja sasa mmebaki kuwaframe watu!
 
Reactions: BAK
wema Sepetu soon atapewa ubunge wa viti maalumu kwa #hashtag# kumuonga #hashtag# penzi jamaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…