Leo wameachia story ya Mbowe kutoka na Wema kutrend siku nzima!Watu wamejadili,Mbowe kadhalilishwa wakiwa wanaangalia tu!
Muda mfupi uliopita nimekuja na Mada yenye kutoa ushahidi kuwa maongezi yale yamekuwa staged!Niliambatanisha video kuback up hoja yangu,cha ajabu JF mods wameuondoa uzi huo!
Naona kazi yao ya kuruhusu Mbowe achafuliwe imekamilika,sasa kila uzi unaohusu suala hilo wanaufuta!!!
Mbona hawakuufuta uzi huo toka asubuhi?Iweje watoe platform kumchafua ila wazuie watu wanapokuja na ushahidi kuwa kitu kile kimekuwa staged?
Shame on you
Moderator