comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Yule fala Hana hata aibuMtu kazeeka hadi anaingia na mkongojo uwanjani halafu aendelee kuvaa jezi namba Saba! Hapana, hapa!
Anataka astaafu akiwa na miaka 70. Nyambafu kabisa.Yule fala Hana hata aibu
Anahitajika lakin sio kwa dakika 90, huyo ni wa kuingia dakika kuanzia ya 85 timu ikishajihakikishia ushindi, maana Kuna wengi wanauwezo kumzidiKocha asingemuita kama aliona ahitajiki.
😃😃😃 Kuna timu hjaitaja hapo kama giant, kweli chuki mbaya sanaShida ya Portugal siyo Cr7, shida ni timu yao bado haijafikia level za ku dominate mpira wa miguu kuanzia ngazi ya world cup kiufupi ni average team, siyo footballing giant, force, kama zilivyo Spain, france, brazil, nk katika timu za taifa, hata kama Cr7 amestaafu siioni ikichukua taji lolote kubwa hivi karibuni
Save hii
😃😃😃 Linafosi magoli 1000Anataka astaafu akiwa na miaka 70. Nyambafu kabisa.
Hayo magoli yaliyobaki aende kutafuta kwenye ndondo kapu za mitaani kwao.😃😃😃 Linafosi magoli 1000
Ndiyo maana nimeweka neno nk. Kuna ujerumani, italia, Argentina nk, katika timu za taifa ma giant ni wale ambao wameshanyanyua kwapa, najua hiyo timu ulikuwa unamaanisha Argentina kweli wao ni ma giant wa football kwenye national team ipo wazi😃😃😃 Kuna timu hjaitaja hapo kama giant, kweli chuki mbaya sana
Ukweli lazima usemwe.@Unatafuta ugomvi na Scars
Jamaa analalamika kwanini kocha kamwambia afanye warm up kwa dakika 45 halafu hajamuingiza kucheza.Ukweli lazima usemwe.
Portugal ya mwisho ni ile ya akina Luis Figo na Rui Costa iliyopigwa Goli la Kifo na Ufaransa...kwenye EURO 2000.. hiki kizazi kingekuwa na CR7 wa 20`s walau kingefanya kitu..Shida ya Portugal siyo Cr7, shida ni timu yao bado haijafikia level za ku dominate mpira wa miguu kuanzia ngazi ya world cup kiufupi ni average team, siyo footballing giant, force, kama zilivyo Spain, france, brazil, nk katika timu za taifa, hata kama Cr7 amestaafu siioni ikichukua taji lolote kubwa hivi karibuni
Save hii
Hakika bila kumsahau Pedro PauletaPortugal ya mwisho ni ile ya akina Luis Figo na Rui Costa iliyopigwa Goli la Kifo na Ufaransa...kwenye EURO 2000.. kizazi hiki kingekuwa CR7 wa 20`s kingefanya kitu..
Halafu kwa umri wa Mzee Ronaldo kukaa benchi bila kuingia ni heshima kubwa mno.Jamaa analalamika kwanini kocha kamwambia afanye warm up kwa dakika 45 halafu hajamuingiza kucheza.
Mi nampongeza kocha mzee kama yule anaweza hata kufia uwanjani kwa baridi kocha kumwambia afanye warm up ni muhimu kwa afya na uhai wake kibabu Ronaldo.
Scars
Watu kama hao wapo hawakubali kwamba umri umeenda, ni kufukuza kwa nguvuIla jamaa ni mbishi sana hataki kustaafu aachie madogo