BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Tatizo la huyu mzee hata wakisema awe sehem ya benchi la ufundi atataka yeye ndo awapangie cha kufanya makocha. Huyu asitaafu tu mpira au akaombe uraia saudia arabia akamalizie ndoto ya goli zake 1000Halafu kwa umri wa Mzee Ronaldo kukaa benchi bila kuingia ni heshima kubwa mno.
Yaani ni kama sehemu ya benchi la ufundi, kama angekuwa Mzee mwenye busara uwepo wake pale nje ungefanya wachezaji wajione wako kwenye mikono salama.
Fifa princess ndo naniRonaldo ni husler huwezi fananisha na FIFA Princess.
Tatizo la huyu mzee hata wakisema awe sehem ya benchi la ufundi atataka yeye ndo awapangie cha kufanya makocha. Huyu asitaafu tu mpira au akaombe uraia saudia arabia akamalizie ndoto ya goli zake 1000
Fifa princess ndo nani
Unamsema mzee wasira, mbowe na mzee lipumba wewe. Unatafuta ugomvi hasa na mzee wasira. Eti unamwita mzeWatu kama hao wapo hawakubali kwamba umri umeenda, ni kufukuza kwa nguvu
Wote hao ni walewaleUnamsema mzee wasira, mbowe na mzee lipumba wewe. Unatafuta ugomvi hasa na mzee wasira. Eti unamwita mze
Aende Yanga yatafika. Msemaji kila siku atangaze press za Ronaldo day shabiki wanywe supu.Hayo magoli yaliyobaki aende kutafuta kwenye ndondo kapu za mitaani kwao.
Waliposema dancer mzuri anajua muda wa kuondoka jukwaani hawajakosea aisee. Mwenzake Messi amestaafu akiwa on faya.Aende Yanga yatafika. Msemaji kila siku atangaze press za Ronaldo day shabiki wanywe supu.
Jambo jingine linalonisikitisha ni kuwa jezi namba 7 haijapewa kajiheshima ka kustaafishwa hata mwaka? Tayari ina mtu? Hahaha, kweli Ureno wamemchoka.Waliposema dancer mzuri anajua muda wa kuondoka jukwaani hawajakosea aisee. Mwenzake Messi amestaafu akiwa on faya.
Hii iwe fundisho kwa wachezaji wengine wenye kiburi. Lamine Yamal na Mbappe wapate kujifunza maana naona dalili ya kiburi kwao.Jambo jingine linalonisikitisha ni kuwa jezi namba 7 haijapewa kajiheshima ka kustaafishwa hata mwaka? Tayari ina mtu? Hahaha, kweli Ureno wamemchoka.
Too bad, hakustahili hili limpate, kiburi hakifai.Hii iwe fundisho kwa wachezaji wengine wenye kiburi. Lamine Yamal na Mbappe wapate kujifunza maana naona dalili ya kiburi kwao.
Kabisa.Too bad, hakustahili hili limpate, kiburi hakifai.
Kabisa kiongozi. Daah! amedharaulika Sana, ngoja akajipange kuongea na waandishi wa habariSijapendezwa na jezi yake kupewa mtu haraka haraka hivyo ila hayo ni Matokeo ya ubishi na kiburui angestaafu mapema angepewa heshima yake kuliko aibu anayopata sasa
Ila Mkuu we kama sio Muha sijui.Sijapendezwa na jezi yake kupewa mtu haraka haraka hivyo ila hayo ni Matokeo ya ubishi na kiburui angestaafu mapema angepewa heshima yake kuliko aibu anayopata sasa
Hakuna mchezaji pale dogo wamtafutie shughuli nyingine ya kufanya, football skills hamna kabisa mtu anakimbia kama amefungwa vyuma kwenye nyongaiyo spirit aipandikize kwa kijana wake cr7 jr huenda kwake ikafanikiwa.
Huenda mazoezi sana yamechangia kuwa hivyoHakuna mchezaji pale dogo wamtafutie shughuli nyingine ya kufanya, football skills hamna kabisa mtu anakimbia kama amefungwa vyuma kwenye nyonga