Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Unahangaika sana, mwanzo mlisema ni Mungu ndiyo amemuokoa mara leo sijui Dr nani, all in all Lissu aliwahishwa Nairobi ili wale 'wasiojulikana' baada kushindwa kummaliza palepale wasipate chance ya kummalizia hospitali. Nyinyi wapuuzi wa TISS mnajifanya ni spin masters but we ain't fools, we can read y'all motherfvckers.
Hizo longolongo zako za kitoto take them somewhere else, hakuna mjinga wa kuzugwa kitoto namna hiyo.
It's like mnahaha this time around sijui ndiyo kulinda 'legacy' au mnahisi mhanga wa shambulio lile(Lissu) akichukua uenyekiti wa CHADEMA atalivalia njuga na kutaka kujua kwanini polisi wamegoma kufanya upelelezi?
 
Hizi ni Story za Corridoni

Wala hakuna TISS hapa. Wa bongo mmezoea udaku. Eti aliwahishwa huko ili asimalizwe na wasiojulikana. Hizi ni story za mbowe niliwahi kumsikia akisema nilimpeleka lisu uko ili wasimuue 🤣

Mbowe ni tapeli sana
 
Kushika chupa ya Dam ndio kuokoa maisha ya mtu. Hata ww ungeweza kushika si ni ndio ?
 
Ndio maana nampenda sana SAMIA.
Kwa gharama nitamlinda.
Mungu Ibariki Tanzania.
Lakini akataka kumwangamiza Mbowe akampa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo au kiungo cha maisha. Akabumba ushahidi akamlambisha asali na sasa wamejiunga kumpinga Lissu pamoja.

Nyoka sana huyu mama
 
Kwenye swala la kutetea uhai wa lisu kafika lile sakata kuna m hango wa mbowe.
 
Sioni haja ya kutaka kujua mchango wa nani na nani kwenye hilo hiyo nguvu tuitumie kujua ni nani walitaka kumuua TAL na tuwapeleke mikononi mwa sheria....

Badala ya kudai tumeokoa maisha ya fulani tuhangaike na wale ambao hatujui kama maisha yao tumeyaokoa au la! kama kina Ben, Soka , Azory nk....

Hao kina FAM na TAL watayamaliza baada ya uchaguzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…