Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Haya yote ameyataka Mhe. Lissu kwaajili ya kutaka kwake kugombea nafasi ya Mwenyekiti wetu

Ila in serious note, Mhe. Mbowe amepanic sana kwenye huu Uchaguzi

Hakutegemea kama Lissu angefahamu mchezo wake katika stage ile
Mbowe alicheza mchezo wa kitoto sana, Mtu anaetuhumiwa kwa Rushwa ndo unaenda kumtuma akam chalenge Lissu
 
Hakuna tabia mbaya ambayo sikuipenda Kama wasaidizi wa Raisi hayati kuadhibu kila alie saidia wapinzani.

Kulikua na ubaya gani kwa huyo DACTARI na hata huyo mkurugenzi wa uwanja wa ndegee...

Ukichagua upinzani hatukuletei maendeleo ni mawazo ya kijima Sanaa na maneno ya chuki kubwa Sanaa kupata kutokea Tanzania.
 
Haya yote ameyataka Mhe. Lissu kwaajili ya kutaka kwake kugombea nafasi ya Mwenyekiti wetu

Ila in serious note, Mhe. Mbowe amepanic sana kwenye huu Uchaguzi

Hakutegemea kama Lissu angefahamu mchezo wake katika stage ile
SIFA kubwa ya mbowe ni kuangalia maslahi ya muda mrefu wakati huo nyie mpo busy na sasa. Mbowe alipogundua Zito ni threat in the near future ….akamtengenezea zengwe… akaliwa kichwa.

Alipogundua Slaa nae ni potential threat , akampokea Edo alijua slaaa hatokubali.na kweli Slaa akaacha chama.

Alipogundua speed ya Lissu inakuja kwa kasi…. Akaona njia ni kumtoa umakamu. Wakat huo anamwambia lisu uenyekiti usigombee anaandaa watu kushika umakamu. That is how he is …. And I believe pale Dodoma mbowe alitama Lissu atembee mazima yaani Afe mana alishaona speed ya lissu.

Ni Ngumu au haiwezekan kusema Lissu ni Msaliti….. how

In truth , Mbowe sio Mpinzani….Mbowe ni Opportunitist na ndio idea ya maneno ya maridhiano. Biashara nyingi za Mbowe hazipo RASMI kama ilivyo kwa Mengi au Bakhresa….hivyo Mbowe akiwa too tense kwenye siasa… serikali inaenda kutekenya TRA….. haonekani kwenye Kodi halaf akaunt inasoma billions….. unatoa wapi hela ?

Business nyingi za Mbowe ni Magendo hivyo ni lazima awe Opportunitist ( Maridhiano) ambayo yatabalance maslahi yake.

Lissu ni Mpinzani wa kweli na hana Makando amenyooka kama ruler …. Serikali haina pa kumtekenya
 
Kwenye hili napinga... Tafuteni namna ya kushindana na Mbowe
 
Muheshimiwa sana na Dactari, Hongera kwa andiko zuri;

Upumbavu wako upo hapa;

“In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi wa CCM ... that is hard truth“

Umeshindwa tambua mchango wa Mungu kwenye uhai wa mwanadamu, ni hivi: CCM walitumiwa na Mungu kuokoa Maisha ya Lisu!
 
Shida ya Mbowe anataka kufanya bila yeye Lisu angefariki kitu ambacho si kweli. Ni kama anaonyesha amemuokoa Lisu ili aje agombee nafasi yake ama? Kwa maneno marahisi ni kama anajuta kwanini hakumuacha afe ili asije kumsumbua
Sema kwa sasa hatuna waaandishi wa habaeri smart

Walipaswa kumuuliza Mbowe alimuokoa vipi Lissu?

Activity nyingi za kumuokoa Lissu zilifanywa na viongozi wa Serikali….. he was there just for update what was going on basi. Hamna alichofanya

Na hata kule Theater aliyeongoza team ya theater ni Ulisubisya na zile Injection zilikuwa zinachomwa kwa usimamizi wake

Otherwise simu zingeweza kupigwa tu wamu overdose na Diazepam au any muscle Relaxant jamaa atoe povu apotee

Kama tukiingiza ubinadamu….. Maisha ya Lissu yalikuwa chini ya Ulisubisya
 
Nakubaliana na wewe Mkuu

Ndiyo maana Juzi akiwa uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, Lissu alisema kitu cha namna hiyo

Kwamba tunahubiri kuhusu Fulani ni mfanyabiashara Mkubwa, lakini anafanya biashara gani isiyo na TIN, leseni, Wala anwani ya makazi

Kwa kweli Mbowe, safari hii hata kama atashinda lakini Chama chake kinaenda kupoteza credibility Kwa Wananchi
 
🤣 mimi nazungumza kidunia
Mambo ya Mungu baki nayo please . Kwa sababu hiyo ni personal opinion kwenye ishu ya iman

Wa Tanzania mjifunze kuwa na akili…. Faith is something personal …… unatakiwa kuelewa mambo kwenye vibration ya juu sio chini
 
Huo msaada ni Upi!

Natamanj a mention alitoa msaada gani kuokoa maisha ya Lissu

Wakati tukio linatokea Doodoma. Two siku mbili kabla nilienda kuonana na Mpoki alipaswa kusaini Doc zangu, ki muundoa wa wizara yeye alikuwa Boss wqngu

Hivyo the whole saga linatokea mimi nipo Dodoma na nilikuwa Hospital

Mbowe aseme alitoa msaada gani exactly ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…