Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kwa sababu Mpoki comedian anajiita "tajiri la kihaya" unafikiri ni jina la kihaya!, Yote Mpoki na Ulisubisya ni majina ya KinyakyusaTunamshukuru kwa kuokoa uhai wa Tundu Lissu.Hakika alifanya kazi kubwa.
Mungu aendelee kubariki kazi za mikono ya Dr. Mpoki Ulisubisya.
Nje ya mada, hili jina Ulisubisya lina-sound kama la kihaya . Huyu daktari ni muhaya eeh !!!
Lile tukio liliumiza taifa kwa kiwango kikubwa mno.Hakuna wema alioufanya. Kwa process zilivyoshughulikiwa that day ; hata Mbowe asingekuwepo Lissu angetibiwa Nairobi
It is that day nili realize damu ni nzito kuliko maji…. Bila ya kujali mambo ya vyama wabunge wote walitoa ushirikiano
Unaweza kuniambia alichofanya mbowe ni nini hasa? Kumbebea lile koti lake ?
Kwa sababu kwa miaka yake yote 21 hajawahi kuchalenjiwa kama sasa.Haya yote ameyataka Mhe. Lissu kwaajili ya kutaka kwake kugombea nafasi ya Mwenyekiti wetu
Ila in serious note, Mhe. Mbowe amepanic sana kwenye huu Uchaguzi
Hakutegemea kama Lissu angefahamu mchezo wake katika stage ile
Ukweli mchunguTaarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.
Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana na general physician waliokiwepo zamu.
-
Wadau wengine akiwemo mbowe , chadema na baadhi ya viongozi wa CCM akiwemo Ndungai wakabaki nje ya Hospital wakifacilitate communication ili Lissu awahishwe Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.
After few hours, Daktari wa Kuua na Kufufua, akatoka Theater na kwenda kwa wadau, Ulisubsya does not speak so much , ana sauti nzito kidogo na niliwahi kufanya nae kazi, na alikuwa ni mmoja wa waliosaini my docs nilipokuwa naondoka
Aliwauliza wadau WHAT NEXT ? Plan zmekaaje?
Mbowe na Ndungai wakajibu tumekubaliana awahishwe MNH.
Dr. Ulisubsya, ni mtu mwenye HESHIMA... akawaambia "vema lakini ninaomba kushauri; kwa hali niliyomkuta nayo LISSU na kwa technology inayotumika MNH kwa sasa, nashauri awahishwe NAIROBI ili baadae asogezwe nchi zenye advanced technology." akasisitiza "Ushauri huu ni wa kitaalam nashauri uzingatiwe"
Ndio chap chap simu zikaanza kutembea kupata vibali na ndege to Nairobi....aliyefacilitate zoezi zima la kupata ndege ni aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege wa wakati ule.
Wakati huo JPM anasubiri Lissu aletwe MNH na akaahidi serikali itagharamia matibabu yake; Job Ndungai anampa Taarifa JPM kuwa Lissu amepelekwa Nairobi,!
JPM akauliza why ? Job akamjibu
"Ulisubsya ameshauri hivyo na ndio alisimamia zoezi zima na ameonesha kuwa MNH inatumia technology ya zamani kwenye treatment"
Hii kitu ilimuudhi sanaJPM , akasema :
"bunge lisigharamie matibabu yake"
Chap akala kichwa
Cha Ulisubsya na kumwambia kwamba unasafiri snaa nje hata safari za kuwapa watendaji wako wa chini.
akawa anatakiwa kwenda pale wizara ya mambo ya nje kunywa chai asubuh na kusoma magazeti bila ya kukosa kila siku.
Gharama za matibabu ya Lissu zilichangwa na wadau wengi akiwemo Samia Hassan, aliyekuwa makamu wa Rais wa kipindi kile.
Mbowe alishiriki kama walivyoshiriki viongozi wengine wa Chadema na CCM kwenye ku facilitate zoezi zima.Mbowe alishakuwa ameingia kwenye mtego wa kumpeleka Lissu MNH.
Kama sio Ulisubsya na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wa wakati ule..... probably we would not have Lissu today .
Siwezi kusema Mbowe hakuwa na Mchango, bali mbowe alikuwa na mchango kama walivyokuwa na Mchango viongozi wengine wa Chadema na CCM . In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi wa CCM ... that is hard truth ..... Champion aliyetoa idea ya kitabibu akiwa Ulisubsya of which it costed him .... Champion namba 2 akiwa yule mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege.hawa ndio game changer .....and never Ulisubsya kuwahi kuzungumzia hili swala.....kama nilivyosema Jamaa haongei sana wala sio mtu wa Media kama Mwafulani. Anajua ethics za kazi zake and he is very composed.
kama ilivyo wana siasa Mbowe ndio akaanza kuonesha nimeokoa maisha ya Lissu. Big Liar and it is a shame kuona jamaa anaongea maneno kama hayo kuwa ameokoa maisha ya Lissu akisahau dunia ya sasa kila kitu kipo wazi.
Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
CHADEMA waliandika nyuzi nyingi za kutukana watu kuanzia Ndugai aliyekuwa spika katika bunge lile.Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.

Unampenda sana mke wa mtu!Ndio maana nampenda sana SAMIA.
Kwa gharama nitamlinda.
Mungu Ibariki Tanzania.
Na Mimi nilishiriki Mkuu.....nilisimama masaa kadhaa kwenye muarobaini mkabala na Mackey House ,karibu na fundi viatu almaarufu nyoka ...nikiomba Mungu amponye shujaa huyu!Nilifanya hivyo hadi alipopelekwa Uwanja wa Ndege; Glory to God!Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.
Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana na general physician waliokiwepo zamu.
-
Wadau wengine akiwemo mbowe , chadema na baadhi ya viongozi wa CCM akiwemo Ndungai wakabaki nje ya Hospital wakifacilitate communication ili Lissu awahishwe Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.
After few hours, Daktari wa Kuua na Kufufua, akatoka Theater na kwenda kwa wadau, Ulisubsya does not speak so much , ana sauti nzito kidogo na niliwahi kufanya nae kazi, na alikuwa ni mmoja wa waliosaini my docs nilipokuwa naondoka
Aliwauliza wadau WHAT NEXT ? Plan zmekaaje?
Mbowe na Ndungai wakajibu tumekubaliana awahishwe MNH.
Dr. Ulisubsya, ni mtu mwenye HESHIMA... akawaambia "vema lakini ninaomba kushauri; kwa hali niliyomkuta nayo LISSU na kwa technology inayotumika MNH kwa sasa, nashauri awahishwe NAIROBI ili baadae asogezwe nchi zenye advanced technology." akasisitiza "Ushauri huu ni wa kitaalam nashauri uzingatiwe"
Ndio chap chap simu zikaanza kutembea kupata vibali na ndege to Nairobi....aliyefacilitate zoezi zima la kupata ndege ni aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege wa wakati ule.
Wakati huo JPM anasubiri Lissu aletwe MNH na akaahidi serikali itagharamia matibabu yake; Job Ndungai anampa Taarifa JPM kuwa Lissu amepelekwa Nairobi,!
JPM akauliza why ? Job akamjibu
"Ulisubsya ameshauri hivyo na ndio alisimamia zoezi zima na ameonesha kuwa MNH inatumia technology ya zamani kwenye treatment"
Hii kitu ilimuudhi sanaJPM , akasema :
"bunge lisigharamie matibabu yake"
Chap akala kichwa
Cha Ulisubsya na kumwambia kwamba unasafiri snaa nje hata safari za kuwapa watendaji wako wa chini unaenda wewe.
akawa anatakiwa kwenda pale wizara ya mambo ya nje kunywa chai asubuh na kusoma magazeti bila ya kukosa kila siku.
Gharama za matibabu ya Lissu zilichangwa na wadau wengi akiwemo Samia Hassan, aliyekuwa makamu wa Rais wa kipindi kile.
Mbowe alishiriki kama walivyoshiriki viongozi wengine wa Chadema na CCM kwenye ku facilitate zoezi zima.Mbowe alishakuwa ameingia kwenye mtego wa kumpeleka Lissu MNH.
Kama sio Ulisubsya na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wa wakati ule..... probably we would not have Lissu today .
Siwezi kusema Mbowe hakuwa na Mchango, bali mbowe alikuwa na mchango kama walivyokuwa na Mchango viongozi wengine wa Chadema na CCM . In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi wa CCM ... that is hard truth ..... Champion aliyetoa idea ya kitabibu akiwa Ulisubsya of which it costed him .... Champion namba 2 akiwa yule mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege.hawa ndio game changer .....and never Ulisubsya kuwahi kuzungumzia hili swala.....kama nilivyosema Jamaa haongei sana wala sio mtu wa Media kama Mwafulani. Anajua ethics za kazi zake and he is very composed.
kama ilivyo wana siasa Mbowe ndio akaanza kuonesha nimeokoa maisha ya Lissu. Big Liar and it is a shame kuona jamaa anaongea maneno kama hayo kuwa ameokoa maisha ya Lissu akisahau dunia ya sasa kila kitu kipo wazi.
Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Jina halisi la Mpoki ni Mujuni ambalo ni jina la kihaya.Yaani kwa sababu Mpoki comedian anajiita "tajiri la kihaya" unafikiri ni jina la kihaya!, Yote Mpoki na Ulisubisya ni majina ya Kinyakyusa
Ulisubsya bado yupo hai?
je bado ana kazi yake?
Magufuli anyongwe uko alipoTaarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.
Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana na general physician waliokiwepo zamu.
-
Wadau wengine akiwemo mbowe , chadema na baadhi ya viongozi wa CCM akiwemo Ndungai wakabaki nje ya Hospital wakifacilitate communication ili Lissu awahishwe Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.
After few hours, Daktari wa Kuua na Kufufua, akatoka Theater na kwenda kwa wadau, Ulisubsya does not speak so much , ana sauti nzito kidogo na niliwahi kufanya nae kazi, na alikuwa ni mmoja wa waliosaini my docs nilipokuwa naondoka
Aliwauliza wadau WHAT NEXT ? Plan zmekaaje?
Mbowe na Ndungai wakajibu tumekubaliana awahishwe MNH.
Dr. Ulisubsya, ni mtu mwenye HESHIMA... akawaambia "vema lakini ninaomba kushauri; kwa hali niliyomkuta nayo LISSU na kwa technology inayotumika MNH kwa sasa, nashauri awahishwe NAIROBI ili baadae asogezwe nchi zenye advanced technology." akasisitiza "Ushauri huu ni wa kitaalam nashauri uzingatiwe"
Ndio chap chap simu zikaanza kutembea kupata vibali na ndege to Nairobi....aliyefacilitate zoezi zima la kupata ndege ni aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege wa wakati ule.
Wakati huo JPM anasubiri Lissu aletwe MNH na akaahidi serikali itagharamia matibabu yake; Job Ndungai anampa Taarifa JPM kuwa Lissu amepelekwa Nairobi,!
JPM akauliza why ? Job akamjibu
"Ulisubsya ameshauri hivyo na ndio alisimamia zoezi zima na ameonesha kuwa MNH inatumia technology ya zamani kwenye treatment"
Hii kitu ilimuudhi sanaJPM , akasema :
"bunge lisigharamie matibabu yake"
Chap akala kichwa
Cha Ulisubsya na kumwambia kwamba unasafiri snaa nje hata safari za kuwapa watendaji wako wa chini unaenda wewe.
akawa anatakiwa kwenda pale wizara ya mambo ya nje kunywa chai asubuh na kusoma magazeti bila ya kukosa kila siku.
Gharama za matibabu ya Lissu zilichangwa na wadau wengi akiwemo Samia Hassan, aliyekuwa makamu wa Rais wa kipindi kile.
Mbowe alishiriki kama walivyoshiriki viongozi wengine wa Chadema na CCM kwenye ku facilitate zoezi zima.Mbowe alishakuwa ameingia kwenye mtego wa kumpeleka Lissu MNH.
Kama sio Ulisubsya na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wa wakati ule..... probably we would not have Lissu today .
Siwezi kusema Mbowe hakuwa na Mchango, bali mbowe alikuwa na mchango kama walivyokuwa na Mchango viongozi wengine wa Chadema na CCM . In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi yaani government officers ambao walikuwa kwenye position kubwa ya kusaidia na sio Mbowe that is hard truth ...
.. Champion aliyetoa idea ya kitabibu akiwa Ulisubsya of which it costed him .... Champion namba 2 akiwa yule mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege.hawa ndio game changer .....and never Ulisubsya kuwahi kuzungumzia hili swala.....kama nilivyosema Jamaa haongei sana wala sio mtu wa Media kama Mwafulani. Anajua ethics za kazi zake and he is very composed.
kama ilivyo wana siasa Mbowe ndio akaanza kuonesha nimeokoa maisha ya Lissu. Big Liar and it is a shame kuona jamaa anaongea maneno kama hayo kuwa ameokoa maisha ya Lissu akisahau dunia ya sasa kila kitu kipo wazi.
Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Tangu lini Hamza Johari amekuwa CAG? Charles Kichere ameshatumbuliwa?CHADEMA waliandika nyuzi nyingi za kutukana watu kuanzia Ndugai aliyekuwa spika katika bunge lile.
Mwingine aliyefanikisha uokozi wa Lissu ni Hamza Johari aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya anga Tanzania. Alihakikisha vibali vya ndege vinapatikana haraka iwezekanavyo.
Hivyo wale chama wa CDM wanaopenda kudharau nafasi za watu wakumbuke kumheshimu Dr Ulisubisya na CAG Hamza Johari.
...na CAG Hamza Johari.CHADEMA waliandika nyuzi nyingi za kutukana watu kuanzia Ndugai aliyekuwa spika katika bunge lile.
Mwingine aliyefanikisha uokozi wa Lissu ni Hamza Johari aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya anga Tanzania. Alihakikisha vibali vya ndege vinapatikana haraka iwezekanavyo.
Hivyo wale chama wa CDM wanaopenda kudharau nafasi za watu wakumbuke kumheshimu Dr Ulisubisya na CAG Hamza Johari.
Wee ndo empty set pumbafuuMuheshimiwa sana na Dactari, Hongera kwa andiko zuri;
Upumbavu wako upo hapa;
“In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi wa CCM ... that is hard truth“
Umeshindwa tambua mchango wa Mungu kwenye uhai wa mwanadamu, ni hivi: CCM walitumiwa na Mungu kuokoa Maisha ya Lisu!
JF imekuwa na waongo,wapotoshaji na vilaza wengi sana,lazima kuwa makini.Tangu lini Hamza Johari amekuwa CAG? Charles Kichere ameshatumbuliwa?
Nadhani alimaanisha AG.Tangu lini Hamza Johari amekuwa CAG? Charles Kichere ameshatumbuliwa?