milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Ulichoandika hakieleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa yako wadau walitoa hela ni weng sana . Wengi na weng Hawaiians kujulikanaAkumbukwe na yule tajiri wa Zanzibar aliyegharamia ndege anaitwa Turky
Sawa.Mbeya
bibi mbowe kwenye udhaifu wake.....Mfahamu sultan bin mbowe
View attachment 3196614
mbona kama la kinyakyusaTunamshukuru kwa kuokoa uhai wa Tundu Lissu.Hakika alifanya kazi kubwa.
Mungu aendelee kubariki kazi za mikono ya Dr. Mpoki Ulisubisya.
Nje ya mada, hili jina Ulisubisya lina-sound kama la kihaya . Huyu daktari ni muhaya eeh !!!
Mambo yalikuwa chap chap sana mana ni simu zilitembea kama upepo.Aliyekuwa RC wa dodoma wakati ule, Jordan Rugimbana,hakunusurika.. anga la dodoma lilitakiwa kufungwa
Tatizo sio Lissu tatizo ni Mbowe kuanza kuongelea fadhila alizofanya as if ni yeye tu ndo aliokoa uhai wa LissuHata kama tunamchukia Mbowe lakini tusiongee uongo; mchango wa Mbowe katika kuokoa uhai wa Lissu ni mkubwa sana; kuna mazingira mengi yanayo onesha kwamba it was Chadema/Mbowe who made that decision (sipingi hilo la daktari Mwanafyale kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu uhai na Afya ya Lissu ) na baadhi ya wabunge wa ccm akiwepo Lazaro Nyarandu. Jikumbusheni ni lini Nyarandu aliachia ubunge and why? Kama spika alihusika "kumtorosha" Lissu why yeye aliendelea ku shine enzi za mwendazake while wengine wakafanywa kama uzi unavyo sema? Mbunge mwingine alikua Nape, Nape ali talk shit sana pale hospital akionesga kukerwa na kitendo kile cha Lissu kupigwa Risasi; kwa mara ya kwanza tulijulishwa kwamba mama yake Nape ni mtu wa Singida cause Nape alitumia neno "mjomba/uncle" akim address Lissu. Miezi kadhaa baadae, same Ndugai alionesha kejeri kwa Chadema kwamba hawajalipa bill ya ndege iliokodiwa kutoka kwa yule mbunge aliyewapa ndege ile. Lissu hakua anajitambua wakati yote yale yakiwa yanafanyika, kwa maana ya uhai wake, Lissu bado anayo sababu ya kumshukuru Mungu aliyeokoa uhai wake, lakini pia anayo sababu ya kumshukuru Mbowe pia kwa ku play role yake kama mkuu wa chama, Mbowe alifanya kazi kubwa katika kuokoa uhai wake. Gharama za matibabu, tulichanga wengi bila kujali vyama vyetu, account ilitolewa na watu tulitupia mule. Lissu aseme hayo anayo yasema kuhusu Mbowe kwa maslahi ya taifa but as an individual, Mbowe kwake ni mtu na nusu.
Asante kwa taarifa sidhani kama hii nayo ni uropokaji au ya siriTaarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.
Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana na general physician waliokiwepo zamu.
-
Wadau wengine akiwemo mbowe , chadema na baadhi ya viongozi wa CCM akiwemo Ndungai wakabaki nje ya Hospital wakifacilitate communication ili Lissu awahishwe Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.
After few hours, Daktari wa Kuua na Kufufua, akatoka Theater na kwenda kwa wadau, Ulisubsya does not speak so much , ana sauti nzito kidogo na niliwahi kufanya nae kazi, na alikuwa ni mmoja wa waliosaini my docs nilipokuwa naondoka
Aliwauliza wadau WHAT NEXT ? Plan zmekaaje?
Mbowe na Ndungai wakajibu tumekubaliana awahishwe MNH.
Dr. Ulisubsya, ni mtu mwenye HESHIMA... akawaambia "vema lakini ninaomba kushauri; kwa hali niliyomkuta nayo LISSU na kwa technology inayotumika MNH kwa sasa, nashauri awahishwe NAIROBI ili baadae asogezwe nchi zenye advanced technology." akasisitiza "Ushauri huu ni wa kitaalam nashauri uzingatiwe"
Ndio chap chap simu zikaanza kutembea kupata vibali na ndege to Nairobi....aliyefacilitate zoezi zima la kupata ndege ni aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege wa wakati ule.
Wakati huo JPM anasubiri Lissu aletwe MNH na akaahidi serikali itagharamia matibabu yake; Job Ndungai anampa Taarifa JPM kuwa Lissu amepelekwa Nairobi,!
JPM akauliza why ? Job akamjibu
"Ulisubsya ameshauri hivyo na ndio alisimamia zoezi zima na ameonesha kuwa MNH inatumia technology ya zamani kwenye treatment"
Hii kitu ilimuudhi sanaJPM , akasema :
"bunge lisigharamie matibabu yake"
Chap akala kichwa
Cha Ulisubsya na kumwambia kwamba unasafiri snaa nje hata safari za kuwapa watendaji wako wa chini.
akawa anatakiwa kwenda pale wizara ya mambo ya nje kunywa chai asubuh na kusoma magazeti bila ya kukosa kila siku.
Gharama za matibabu ya Lissu zilichangwa na wadau wengi akiwemo Samia Hassan, aliyekuwa makamu wa Rais wa kipindi kile.
Mbowe alishiriki kama walivyoshiriki viongozi wengine wa Chadema na CCM kwenye ku facilitate zoezi zima.Mbowe alishakuwa ameingia kwenye mtego wa kumpeleka Lissu MNH.
Kama sio Ulisubsya na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wa wakati ule..... probably we would not have Lissu today .
Siwezi kusema Mbowe hakuwa na Mchango, bali mbowe alikuwa na mchango kama walivyokuwa na Mchango viongozi wengine wa Chadema na CCM . In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi wa CCM ... that is hard truth ..... Champion aliyetoa idea ya kitabibu akiwa Ulisubsya of which it costed him .... Champion namba 2 akiwa yule mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege.hawa ndio game changer .....and never Ulisubsya kuwahi kuzungumzia hili swala.....kama nilivyosema Jamaa haongei sana wala sio mtu wa Media kama Mwafulani. Anajua ethics za kazi zake and he is very composed.
kama ilivyo wana siasa Mbowe ndio akaanza kuonesha nimeokoa maisha ya Lissu. Big Liar and it is a shame kuona jamaa anaongea maneno kama hayo kuwa ameokoa maisha ya Lissu akisahau dunia ya sasa kila kitu kipo wazi.
Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
Dr. Mpoki Ulisubisya ndiye anastahili kupewa maua yake katika suala la emergency service na kushauri Lissu apelekwe Nairobi. Key point ya kuokoa uhai wa Lissu iko hapa.Hata kama tunamchukia Mbowe lakini tusiongee uongo; mchango wa Mbowe katika kuokoa uhai wa Lissu ni mkubwa sana; kuna mazingira mengi yanayo onesha kwamba it was Chadema/Mbowe who made that decision (sipingi hilo la daktari Mwanafyale kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu uhai na Afya ya Lissu ) na baadhi ya wabunge wa ccm akiwepo Lazaro Nyarandu. Jikumbusheni ni lini Nyarandu aliachia ubunge and why? Kama spika alihusika "kumtorosha" Lissu why yeye aliendelea ku shine enzi za mwendazake while wengine wakafanywa kama uzi unavyo sema? Mbunge mwingine alikua Nape, Nape ali talk shit sana pale hospital akionesga kukerwa na kitendo kile cha Lissu kupigwa Risasi; kwa mara ya kwanza tulijulishwa kwamba mama yake Nape ni mtu wa Singida cause Nape alitumia neno "mjomba/uncle" akim address Lissu. Miezi kadhaa baadae, same Ndugai alionesha kejeri kwa Chadema kwamba hawajalipa bill ya ndege iliokodiwa kutoka kwa yule mbunge aliyewapa ndege ile. Lissu hakua anajitambua wakati yote yale yakiwa yanafanyika, kwa maana ya uhai wake, Lissu bado anayo sababu ya kumshukuru Mungu aliyeokoa uhai wake, lakini pia anayo sababu ya kumshukuru Mbowe pia kwa ku play role yake kama mkuu wa chama, Mbowe alifanya kazi kubwa katika kuokoa uhai wake. Gharama za matibabu, tulichanga wengi bila kujali vyama vyetu, account ilitolewa na watu tulitupia mule. Lissu aseme hayo anayo yasema kuhusu Mbowe kwa maslahi ya taifa but as an individual, Mbowe kwake ni mtu na nusu.
Mama Samia ni mtu mwema sana.Yupo hai ,last month mama ndio kampa I DG wa pale MOI …ni makurugenzi wa MOI kwa sasa.
Sio mtu wa media… huwezi kumsikia ni mchapa kazi zaidi