Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Mbowe kwa sasa anatapatapa, anajaribu kushika popote ilimradi ajiokoe...hakujifunza kusoma alama za nyakati au pengine wapambe nuksi maslahi ndio wamempotosha kugombea awamu ingine baada ya miaka 21 madarakani.
 
Akumbukwe na yule tajiri wa Zanzibar aliyegharamia ndege anaitwa Turky
Kwa taarifa yako wadau walitoa hela ni weng sana . Wengi na weng Hawaiians kujulikana

Samia ni mmoja wapo

Mimi simpendi Samia as a president but kile kipindi alionesha Utu, na nadhan unatambua hata kwenda kule ilibidi samia aombe ruhusa ya JPM
 
Hata kama tunamchukia Mbowe lakini tusiongee uongo; mchango wa Mbowe katika kuokoa uhai wa Lissu ni mkubwa sana; kuna mazingira mengi yanayo onesha kwamba it was Chadema/Mbowe who made that decision (sipingi hilo la daktari Mwanafyale kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu uhai na Afya ya Lissu ) na baadhi ya wabunge wa ccm akiwepo Lazaro Nyarandu. Jikumbusheni ni lini Nyarandu aliachia ubunge and why? Kama spika alihusika "kumtorosha" Lissu why yeye aliendelea ku shine enzi za mwendazake while wengine wakafanywa kama uzi unavyo sema? Mbunge mwingine alikua Nape, Nape ali talk shit sana pale hospital akionesha kukerwa na kitendo kile cha Lissu kupigwa Risasi; kwa mara ya kwanza tulijulishwa kwamba mama yake Nape ni mtu wa Singida cause Nape alitumia neno "mjomba/uncle" akim address Lissu. Miezi kadhaa baadae, same Ndugai alionesha kejeri kwa Chadema kwamba hawajalipa bill ya ndege iliokodiwa kutoka kwa yule mbunge wa ccm aliyewapa ndege ile. Lissu hakua anajitambua wakati yote yale yakiwa yanafanyika, kwa maana ya uhai wake, Lissu bado anayo sababu ya kumshukuru Mungu aliyeokoa uhai wake, lakini pia anayo sababu ya kumshukuru Mbowe pia kwa ku play role yake kama mkuu wa chama, Mbowe alifanya kazi kubwa katika kuokoa uhai wake. Gharama za matibabu, tulichanga wengi bila kujali vyama vyetu, account ilitolewa na watu tulitupia mule. Lissu aseme hayo anayo yasema kuhusu Mbowe kwa maslahi ya taifa but as an individual, Mbowe kwake ni mtu na nusu.
 
Aliyekuwa RC wa dodoma wakati ule, Jordan Rugimbana,hakunusurika.. anga la dodoma lilitakiwa kufungwa
Mambo yalikuwa chap chap sana mana ni simu zilitembea kama upepo.

Binadamu bado tunapendana….

Zinazokuja kuondoa upendo wetu ni siasa na dini….. lakini Mungu alishajaalia mapenzi na huruma kati ya binaadam na binaadam

Wakurugenzi wa mamlaka walikuwa watatoa approvals on phone tu…. Hard copies will follow

JPM anqkujq kupewa info ndege ipo angani…. Inaingia Nairobi

Jamaa aka mind , akasema na heath cost ajilipie, na lisu alitembea na wengi
Kuna mabalozi walioenda kumuona pia waliliwa vichwa

Nadhan hata yule Dg Wa mamlka ya viwanja vya ndege alitumbuliwa …. Nimepoteza kumbukumbu na huu uzee wangu wa 36 years old

Mbowe ni wapi anaingia?

Kwa sababu the whole saga ilikuwa ni lazima lifanywe na government officers….
Sasa Mbowe aliokoaje maisha ya Lissu

awake wazi what did he do ?
 
Tatizo sio Lissu tatizo ni Mbowe kuanza kuongelea fadhila alizofanya as if ni yeye tu ndo aliokoa uhai wa Lissu
 
Asante kwa taarifa sidhani kama hii nayo ni uropokaji au ya siri
 
Dr. Mpoki Ulisubisya ndiye anastahili kupewa maua yake katika suala la emergency service na kushauri Lissu apelekwe Nairobi. Key point ya kuokoa uhai wa Lissu iko hapa.

mbowe ni kama sisi tuliochangia vitu vingine tu. Asijiweke kimbelembele katika hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…