Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Niliwahi kusema na nitasema, mpinzani mmoja ndani ya hii nchi toka ipate uhuru ni Tundu Lissu.

The guy is smart and clever. Panapohitajika ukweli usemwe basi hakujiuliza mara mbili, unapopaswa kupambana na Lissu unapaswa uwe clean kama yeye alivyo clean na hapo ndipo atakapofeli Mbowe dhidi ya Lissu.
 

Nchi hii ina mengi sana ukishindwa kucheka ni wewe mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Mbona Lissu mwenyewe kaeleza aliyemwokoa hapa



View: https://youtu.be/8Qdtp31VH8I?t=2
 
Soma maelezo yako vizuri,wewe ndiye umesema kwamba 'hukatai kwamba Mbowe hakutoa mchango siku hiyo"...kwahiyo kama alitoa basi huo ni wema japo kidogo.

Okay,tufanye basi hakutoa msaada wowote kwa Lisu siku hiyo.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii comment inatisha sana
 
Ubishi wako hauna tija( pia ni changamoto ya uelewa kwa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…