Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Sababu ya hayati kumind kiasi hicho ilikuwa ni nini mkuu
 
Tumuulize.. gentleman....mzee wetu Tlaatal
 
Alichofanya huyo Dr kwani siyo wajibu wake!?
 
Bila kusahau mtu wa kwanza kabisa kumuokoa Lissu alikuwa ni dereva wake, aliyewahi kutilt kiti chake nyuma mara baada ya risasi kuanza kupigwa, bila hivyo pengine risasi zingeweza kumpata sehemu mbaya zaidi na hata huko Nairobi asingefika
 
Nani ali organize ndege ya kumpeleka Lissu Nairobi? Nani aliandaa logistics zote za safari? Nani alitafuta hospital ya kumfikishia Lissu? Mapokezi ya kule Je? Sikubaliani na Mbowe kung'ang'ania madaraka, lakini pia sikubaliani na watu wanaotaka kuondoa UTU wa Mbowe alioufanya kwa Lissu.
 
Bila kusahau mtu wa kwanza kabisa kumuokoa Lissu alikuwa ni dereva wake, aliyewahi kutilt kiti chake nyuma mara baada ya risasi kuanza kupigwa, bila hivyo pengine risasi zingeweza kumpata sehemu mbaya zaidi na hata huko Nairobi asingefika
Sahihi kabisa . Asante
 
Wanyakyusa Kwa Mara nyingine wameokoa taifa
 
Na huu mdundo lissu kaucheza kwa steps za haraka sana zikamchanganya mbowe na haamini.
Kwa kweli Mkuu

Na iwapo Chama akapewa Lissu, Kuna uwezekano tukaziona zile Siasa za Chadema za miaka ya 2007 hadi 2014

Ilikuwa ni Chadema Fulani hivi ya moto balaa, hadi Serikali walikuwa wanaogopa kufanya ufisadi wao hadharani sio kama saivi
 
Kwangu mimi niliyewahi kumuuguza mwanangu hadi anakaribia kufariki, mtu yeyote hata yule aliyenitia nguvu za kustahmili uchungu ule, namuona kama muokozi wa mwanangu.
Kinachoponya mgonjwa katika hali kama ile ni mengi. Kwa kesi ya Lisu Kuanzia yule aliyemtoa pale alipopigiwa risasi, aliyempokea theatre, aliyeshika mkono ili kuongeza damu, aliyetoa wazo la kupiga simu nairobi na logistics zote za kumpokea, rubani aliyeendesha ndege, nk wote walishiriki kuokoa maisha yake laikini yote - kwa msaada wa Mungu
 
Hakika Dunia ya sasa MUNGU hana nafasi!! Mungu nakuomba uwe mkali ali atambue uwepo wako Amen!!
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Lissu angekufa mngamlaumu Mbowe kwamba hakufanya kitu, sasa amepona mnamlaumu kwamba hakumsaidia Lissu.
 
nadhani unahitqji kueleweshwa tu

Walio orchestrate logistics zote ni viongozi wa Serikali.

Kwa taarifa yako Mbowe hata hakujua utaratibu wa hizi logistics .

Kuna Mmbunge wa CCM jina limenitoka ndio alimpigia simu mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja kumpa info.

Huyu DG ndio aka orchestrate kila kitu hadi ndege ikapaa to Nairobi.

Daktari wa kusafiri na lisu akatoka pale pale hospital

Je aende Hosp gani… Mpoki alishatoa ushauri na Dr mmoja wa Nairobi akapigiwa yeye ndio akatoa taarifa Hosp kisha management’s za kumpokea Lisu zikaanza

Wadau wakaanza kutuma pesa pia

Kazi kubwa ya mbowe ilikuwa ni kujua tumefikia wapi and and so forth kama ilivyokuwa kwa viongozi wengine

Pia kuna viongozi wengi baadae wakaomba ushiriki wao usiwe mentioned kwenye matukio ya kuokoa maisha ya lisu

Halaf pia tumia akili ya kuzaliwa Bungeni kulikuwa na viongozi wakuuu wote , most of the signatories walikuwa wanapigiwa simu

Mbowe hawezi kumpogia simu DG ya fulan ili atekeleze jambo fulan. Viongozi wa serikali walikuwa wakipigiana simu wao kwa wao . Mbowe anapewa tu info…. Tumeshampigia mtu fulan anafanyia kazi … ndio ilikuwa hivo

Halaf pia tumia akili ya kuzaliwa…. Mbowe anawezaje kujua logistics za ndani ya serikali kila kitu afanye yeye?

Gvt officers kwa kushirikiana ndio walikuwa wana comment hapa kitafutwe hiki. Pale doc fulan inahitajika
Hapo apigiwe simu DG fulan , ndio ilikuwa ikifanyika hivo na hizo procedure wala Mbowe hakuwa kuzijua
Na most of the approvals zilikuwa zinatokq kwa phone tu

Shida ungekuwa mtumishi ungeeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…