Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

Basi usiwe una kiherehere cha kujibujibu mambo ambayo hauyajui unategemea Lumumba wakusaidie kujibu.Nyogulefu!
1. Specifically wewe sie uliyeuliza swali la msingi nililojibu.
2. Jifunze kuwa kuheshimu watu.
 
Kwamba hata John Malecela anaweza kuwa Katibu wa UVCCM , na kwamba atakaposoma risala ya umoja huo mbele ya Mh Samia ataanza na neno "sisi vijana tunaunga mkono uwekezaji wa bandari" ?
Hayati Mzee Rashid Mfaume Kawawa kafariki akiwa Kamanda wa UV CCM Taifa akiwa na miaka zaid ya 80

Hayati Kingunge Ngombale mwiru hadi anaondoka Ccm 2015 alikuwa Kamanda wa UV CCM na Mwakilishi wa Waganga wa Kienyeji kwny Bunge la Katiba wakati hana kilinge cha matunguli na waganga wenyewe walishangaa kuwakilishwa na mtu wasiemjua
 
Mbona huyu jamaa ni Under18 kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbowe amesema chama kitashiriki uchaguzi serikali za mitaa jitahidi kwa muda huu uliobaki kujika kwenye mambo muhimu kuhusu chama chako chadema!
 
sawa mkuu nmkupata
 
Faki lulandala au yupi?

Kama yeye ni mtu wa michongo kitambo ,alikuwa anafundisha ivumwe sekondari(shule ya wazazi ) na bado akiwa mwajiliwa serikali akifundisha shule x pale mbeya mjini ,na bado akiwa mwanachadema mtiifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…