Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ndiyo umemaliza?Kwa hiyo kikongwe anateuliwa kuwa katibu wa watoto?Inaleta maana na mlinganyo sahili kweli?Katibu Mkuu wa UVCCM na makatibu wengine wa CCM ni waajiriwa(wanateuliwa). Sio viongozi wanaotokana na kuchaguliwa. Umri sio Kigezo cha kuzingatia kuteuliwa.