Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

Basi usiwe una kiherehere cha kujibujibu mambo ambayo hauyajui unategemea Lumumba wakusaidie kujibu.Nyogulefu!
1. Specifically wewe sie uliyeuliza swali la msingi nililojibu.
2. Jifunze kuwa kuheshimu watu.
 
Kwamba hata John Malecela anaweza kuwa Katibu wa UVCCM , na kwamba atakaposoma risala ya umoja huo mbele ya Mh Samia ataanza na neno "sisi vijana tunaunga mkono uwekezaji wa bandari" ?
Hayati Mzee Rashid Mfaume Kawawa kafariki akiwa Kamanda wa UV CCM Taifa akiwa na miaka zaid ya 80

Hayati Kingunge Ngombale mwiru hadi anaondoka Ccm 2015 alikuwa Kamanda wa UV CCM na Mwakilishi wa Waganga wa Kienyeji kwny Bunge la Katiba wakati hana kilinge cha matunguli na waganga wenyewe walishangaa kuwakilishwa na mtu wasiemjua
 
Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa miaka 30 .

Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ?

View attachment 2774543

Wanaoshindwa kujisimamia kwenye vijisheria vyao vidogo vidogo wataweza kusimamia Katiba ya Nchi ?
Mbona huyu jamaa ni Under18 kabisa😂😂
 
Mbowe amesema chama kitashiriki uchaguzi serikali za mitaa jitahidi kwa muda huu uliobaki kujika kwenye mambo muhimu kuhusu chama chako chadema!
 
Nimeona Tayari majibu yameshatolewa. Kwa ufupi ni kuwa makatibu wote wa UVccm kuanzia ngazi za wilaya mpaka Taifa ni waajiriwa na wanalipwa kwa kazi hiyo. Lakini ni lazima wawe Wana CCM. Ndio maana mtu anaweza kutolewa Arusha akapelekwa mbeya kuwa katibu ngazi wa mkoa UVccm.
sawa mkuu nmkupata
 
Faki lulandala au yupi?

Kama yeye ni mtu wa michongo kitambo ,alikuwa anafundisha ivumwe sekondari(shule ya wazazi ) na bado akiwa mwajiliwa serikali akifundisha shule x pale mbeya mjini ,na bado akiwa mwanachadema mtiifu
 
Back
Top Bottom