Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

Wewe ni muongo Grade ya Taifa.
1. Kwamba manabii wa uongo hawatozi fee kuwaona?

2. Kwamba manabii wa uongo wanaita watu kutubu na kuokoka mwisho wa IBADA zao?

3. Kwamba manabii wa uongo wanakemea dhambi?

4. Kwamba hawaruhusu vimini na nguo za kubana kuingia ktk makusanyiko yao?

5. Kwamba hawauzi Kijiji Cha udongo 9,000/=?

6. Kwamba chupa ya Ml 500 ya maji ya upako wa mchongo haiuzwi zaidi ya 2000?
 
Nimekumbuka tu enzi zile za pastor Kakobe alitembelea mpaka vita ya Iraq vita ikasimama kwa siku kadhaa watu wakapokea neno mpaka siku alipomaliza ziara zake akaondoka ndio jamaa wakaendelea na vita yao!
Leo hii Kakobe kimya duh!!!
 
Mimi sikwenda Kawe,ila nikiwa Mwanza Mwamposa alikuwa kwenye kipindi cha ,"Operesheni Komboa familia"akasema chukua Maji ya nyumbani na Mafuta na uelekeze kwenye screen,nilifanya kama alivyoelekeza baadaye baada ya kuyaombea akasema rusha maji sebuleni,vyumbani na mpaka nje ya geti ninapoingilia.
Halo nilichokikuta asubuhi ndani chini ya kitanda kuna Nnge ba buibui mkubwa kafa na nje getini kwa juu nilikuta dawa imefungwa na nywele kwenye karatasi ya nylon.Nilishangaa sana!
Ile nyumba kila nikipata hela ilikuwa haikai mkononi na sikuwa na maendeleo yoyote.Ila sasa baada ya kuhama pale kipato changu kilekile,nimenunua viwanja na sasa najenga kiurahisi kabisa.Wakuu uchawi upo,Mwamposa anasaidia tusimbeze,Mimi sijawai kuonana nae zaidi uya kufuata maelekezo yake kwenye screen!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mwaposa ni nabii wa uongo
Mwamposa ni mshirikina
Mwamposa ni mpenda fedha
Mwamposa ni mwizi wa fedha za watu
Mwamposa ni mchafuzi wa kazi za Mungu aliye hai
Mwamposa hana tofauti na waganga wa kienyeji
Mwamposa mchumia tumbo.

Soma 1kor 1:10-13
 
Labda hujui unacho andika kumhusu huyo mtu

Nahitimisha wewe ni Muongo to the core
Acha kusema uongo
Huo using unakuwepogi uwanjan na Watu huchukua buree
Mzee labda chuki zimekuja na kujiona unajua sn
 
Mwaposa ni nabii wa uongo
Mwamposa ni mshirikina
Mwamposa ni mpenda fedha
Mwamposa ni mwizi wa fedha za watu
Mwamposa ni mchafuzi wa kazi za Mungu aliye hai
Mwamposa hana tofauti na waganga wa kienyeji
Mwamposa mchumia tumbo.

Soma 1kor 1:10-13
Wewe hupendi hela? Nawe weka mabango tuje tukupe badala ya kusifia eti Mwamposa anapiga hela.
 
Wewe hujui chochote ndg yangu pole sana , Mungu akusaidie
 
Chawa kila mahali chamani, aerikalini na kwenye dini, inachosha
 
Katika kuitetea na kuisambaza Injili ya Kristo ili iwafikie watu wa mataifa yote, mitume wote walipitia taabu na mateso mengi hadi mauti. Licha ya wao hata watumishi wengine wacha
Mungu walipitia changamoto nyingi za kila namna.

Kila walichokifanya, miujiza mingi na ishara walizozifanya, kanuni kuu ni kwamba sifa, heshima, na utukufu wote unapaswa kurudishwa kwa BWANA YESU KRISTO mwenyewe, na wala si l
kwa ajili ya madhabahu ya mtumishi anayehudumu. Ni vyema tukatafakari kwa kina juu ya aina ya huduma na utumishi katika nyakati za sasa kanisa kwa kupitia nukuu ifuatayo;

UFUNUO 3

14 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye Amina, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu.

15 Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto.

16 Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

17 Kwa kuwa wasema, Mimi ni tajiri, nimejitajirisha, wala sina haja ya kitu; nawe hujui ya kuwa wewe u mnyonge, na mwenye mashaka, na maskini, na kipofu, na u uchi.
 
Wewe Mfuatilie Mwamposa hutajuta na imani yako itapanda zaidi ya hiyo
 
TWENDENI ZETU KAWE
 
Pale Ocean Road kuna wagonjwa wa Kansa wa kutosha, kama kweli ni mtenda miujiza si aende akawaombee wale waamke na Kansa iwatoke,acheni usenge wenu kudanganya watu humu JF
Waleteni pale Kawe sio aende haya mambo ni mpaka uamini kwanza
 
Mimi nilikufa juzi, Mwamposa akanifufua! Nikatoka kaburini nikajifuta mavumbi nikasepa home watu wakakimbia.

Leo simu yangu haina vocha mwamposa kaiombea, sahivi nachat bila bundle na naingia xvideos na pornhub vizuri tu nawaona kina Mia Khalifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…