Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Wewe ukisababisha tukio lazima chati ipande au ishukeBaada ya lile tukio la Moshi, chati ilipanda sana.
Mimi nililogwa sana kwa zaidi ya miaka 15,nilitembea sana kwa waganga ila nilipofika Kawe namshukuru Mungu walau kwa Sasa hata naonekana mtu, Mwamposa ni mtumishi wa Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwakweli atusaidie kwa TanescoNaomba Mtume Mwamposa akaiombee Tanesco pamoja na mitambo ya Tanesco.
Huu umeme umezidi kukatika.
Huu mgao umekuwa hatari. Inabidi Apostle Mwamposa akaiombee Tanesco na mitambo yote ya Tanesco.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwakweli atusaidie kwa Tanesco
Bwana Yesu hajawahi kuwatapeli watu
Utakuwa mvaa kobaz weweBwana Yesu hata yeye angekuepo kwa kipindi hichi bado na yeye angewekwa kwny kundi la mwamposa
Anaweza kuwa mtumishi wa Mungu anayehitaji Roho Mtakatifu kumwongoza kutibu Roho za watu kwanza.Mungu anajali sana mioyo ya wanadamu kumrudia yeye kutoka utumwa mwa dhambi zetu.Mungu anasema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu ndipo na hayo mengine mtapewa.Hata hivyo Mwamposa si kama wengineView attachment 2849652View attachment 2849653View attachment 2849654
View attachment 2849655
Habari Tanzania,
Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer.
Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es Salaam Tanzania.
Apostle Bonface Mwamposa amekuwa na wafuasi wengi wanao ongezeka siku kwa siku mwezi kwa mwezi au mwaka kwa mwaka yaani ni mamilioni kwa mamilioni ya waamini toka nje na ndani ya bara la Africa,
Apostle Bonface Mwamposa, ibada zake zote hazina Misingi ya dini au dhehebu lolote ila " IMANI KWA YESU KRISTU NA MUNGU ALIYEMTUMA "
Apostle Bonface Mwamposa, anahudumia wakristo kwa Waisilamu hata wale wote wasio na dini kabisa kama akina Yeriko Nyerere nao pia wakiamini wanapokea uponyaji wa mwili na roho pamoja na haja zao kutimilizwa na Mungu wa Boniface,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwambia Dkt Willium Ruto kwamba "Nenda Utashinda Uchaguzi" na mishowe Ruto akashinda Urais,
Bila Mungu ilikuwa ni ngumu sana mtu kama Mhe Willium Samoi Ruto kuwashinda Mhe Raila Omolo Odinga na Kenyatta Uhuru ila Mungu wa Boniface akafanya jambo pale Kenya na Dunia ikashangaa,
Apostle Bonface Mwamposa, Ndiye aliyemwombea Dkt Tulia na akashinda kuwa Spika wa mabunge yote Duniani ( IPU ) hata Leo,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwombea kaka yetu Fiston Kalala Mayele na akawa mchezaji bora wa wakati wote Nje na ndani ya Tanzania nadhani sote tunakumbuka huyu kijana anayechezea Pyramids hivi Sasa,
Orodha ya waliosaidiwa na Mungu kupitia kwenye kinywa Cha Apostle Bonface Mwamposa ni wengi wengine wanakwenda kwa Siri na hawashuki kwenye magari yao ila wanatendewa japo ni ujinga kujificha au kuficha matendo ya Mungu wakati kwa waganga mnakwenda tena waziwazi.
Hoja yangu hapa ni , Je? Mwamposa kwa kuzingatia mafundisho yake na upako alionao huenda ni kweli huyu bwana akawa ni mwana wa Mungu ila sisi imani zetu zimekamatwa na shetani na hivyo tunashindwa kutofautisha kati ya kazi za shetani na kazi za Mungu?
====
Kama hujawahi kwenda au kumsikiliza Apostle Bonface Mwamposa jipe muda wa kumfuatilia kabla hujamsema vibaya,
MFuatilie: Azam channel No 469
Startimes No 117
You tube: Mwamposa Live
: Arise & shine Tanzania
Instagram: Arise & shine Tanzania
Naonngea kitu cha kweli, nenda pale nje kawaulize wale wapika chakula watakuambia, tena mwamposa aliwapa ela kufidia vitu vyao vilivyovunjwa na yule kichaaHapana wewe ni muongo kama hujui Kaa kimya tena kuwa kimya kabisa yatakupata mabaya sana
Wapi huko Kuna kiingilio ?Nabii yeyote anayeweka kiingilio/ fee kumuona,
Ni Nabii wa Uongo.
Soma mada🙄Wapi huko Kuna kiingilio ?
Ni jangili kama majangili mengineMwamposa Propaganda Group in action.
Tena awe Rais sababu watu ni wajinga haswaKwa akili hizi acha Mwigulu Nchemba awe waziri