Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

TUKO KAWE TUKISUBIRI KULA KEKI YA UPAKO,

WEWE KAMA UKO MBALI CHUKUA KITU CHOCHOTE CHAKULA UTAKIINUA WAKATI WA KUOMBEA KEKI
 
Kalaghabaho hela tangu lini inakaa mkononi hela yake matumizi stuka wewe
 
Haujajibu nilichouliza? Nimeuliza mtu ambaye sio mkristo haamini Mungu anayemuamini Mwamposa, je atainua vp imani yake ili hiyo miujiza iweze kutendeka kwake kutoka kwa Mungu anayemuamimi Mwamposa? maana unasema tu wainue imani ila hausemi wainue vp hiyo imani kwa huyo Mungu.

Kwahiyo ukiristo ni suala la kutoa huduma ya miujiza tu na imani za waumini wa imani ya ukristo zimeshikiliwa na miujiza ya kuwapa watu magari,kazi,watoto,kuwatoa uchawi n.k?
 
Nikahis pengine mwamba amesha geuka,, kumbe unapalilia shamba lako? Tunapotea kwakukosa maarifa
 
Na wataangamia kwelikweli,

Watu wanajichelewesha tu na kujifanya wajuaji,
Hii huduma ya miujiza inawakuza na kuwatangaza hao manabii na si Mungu, jinsi Mwamposa alivyokuwa maarufu kama hiyo miujiza ingekuwa na athari kwenye imani za wakristo na miujiza hiyo ingekuwa ikimtabulisha Mungu kwa wenye kuamini basi angekuwa akizungumziwa sana Yesu hata kwa wasio wakristo kutokana na hiyo miujiza na tungeona imani za wakristo kuimarika zaidi kutokana na Mungu wao kutenda miujiza.

Ila anayezungumziwa ni Mwamposa tu, kwa maana watu huenda kwa Mwamposa kama mbadala wa kwenda kwa mganga kwa kukwepa gharama na wengine ni kukosa tu matumaini na kujikuta anashawishika kwenda huko kutokana na sifa anazosifiwa nazo Mwamposa(si Mungu).
 
Ninacho jua Mimi ni kwamba Boniface Mwamposa ndiye mungu halisi kwa hao wanategemea miujiza ya kumbewa na huyo mungu Mwamposa!
Huo ndio ukweli hata kama wao hawajagundua hilo.
 
Húu sio utaratibu wa Mungu,

Watoeni muwapeleke wote watapona,

Imani ni kumtafuta Mungu,
Kutoka Hospitali mpka Kawe ni kitendo Cha imani lazima apone
Watu wazima tu sio wagonjwa ila wanalala huko huko ili kuwahi nafasi halafu unasema apelekwe mgonjwa wa kutoka hospitali? Kwa nini asiende yeye hospitali kutoa huduma yake ya miujiza kwa wagonjwa huko hospitali kuliko kusema et mgonjwa atolewe hospitali na kumfuata Mwamposa?
 
Hapana, Sifa na Utukifu ni Kwa Mungu,
 
Mkuu hii mbona ipo wazi kwamba Mwamposa anapata umaarufu na hiyo miujiza kuliko Yesu, hii miujiza haileti athari ya kiimani kwa Mungu bali inamtia umaarufu na kumtukuza Mwamposa.
Hata Punda aliyembeba Yesu kuingia Kalilaya alipata umaarufu,
Ni ngumu kumbeba Yesu na nguvu zake halafu watu wasikufahamu
 
Apostle Bonface Mwamposa, ibada zake zote hazina Misingi ya dini au dhehebu lolote ila

" IMANI KWA YESU KRISTU NA MUNGU ALIYEMTUMA "
Occult and rituals also don't need all that, soma nilipoweka bold kwa umakini kisha soma nilipoweka mstari wa kati alafu nifuate

...requirements you need to “check” before you ASK12BE1.

"A Community of Good Men, Who Believe in the Importance of Brotherhood & Friendship"

...he will never be a stupid Atheist nor an irreligious Libertine…to be good Men and True, or Men of Honour and Honesty by whatever denominations or persuasions they may be distinguished;

Must Believe in a Supreme Being?

Keep on thinking
 
Hata Punda aliyembeba Yesu kuingia Kalilaya alipata umaarufu,
Ni ngumu kumbeba Yesu na nguvu zake halafu watu wasikufahamu
Watu wanamfahamu Mwamposa zaidi kuliko hata huyo Yesu, watu hawajali zilikotoka hizo nguvu za miujiza.
 
Wasomi wa dini hawa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…