Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Wapumbavu ndiyo chanzo cha utajiri wa Wajanja duniani haswa Africa tunapigwa sana.Kule wanauziwa maji na mafuta
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu ndiyo chanzo cha utajiri wa Wajanja duniani haswa Africa tunapigwa sana.Kule wanauziwa maji na mafuta
TUKO KAWE TUKISUBIRI KULA KEKI YA UPAKO,View attachment 2849652View attachment 2849653View attachment 2849654
View attachment 2849655
Habari Tanzania,
Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer.
Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es Salaam Tanzania.
Apostle Bonface Mwamposa amekuwa na wafuasi wengi wanaoongezeka siku baada ya siku mwezi baada ya mwezi au mwaka kwa mwaka yaani ni mamilioni kwa mamilioni ya waamini toka nje na ndani ya bara la Africa,
Apostle Bonface Mwamposa, ibada zake zote hazina Misingi ya dini au dhehebu lolote ila " IMANI KWA YESU KRISTU NA MUNGU ALIYEMTUMA "
Apostle Bonface Mwamposa, anahudumia Watu wakristo kwa Watu Waisilamu au hata wale wote wasio na dini kabisa kama akina Yeriko Nyerere nao pia wakiamini wanapokea uponyaji wa mwili na roho pamoja na haja zao kutimilizwa na Mungu wa Boniface anayejibu kwa Moto,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwambia Mhe Dkt Willium Ruto kwamba "Nenda Utashinda Uchaguzi" na mishowe Ruto akashinda Urais,
Bila Mungu ilikuwa ni ngumu sana mtu kama Mhe Willium Samoi Ruto kuwashinda Mhe Raila Omolo Odinga na Kenyatta Uhuru ila Mungu wa Boniface akafanya jambo pale Kenya na dunia ikashangaa kilichotokea,
Apostle Bonface Mwamposa, Ndiye aliyemwombea pia Mhe Dkt Tulia Ackson na akashinda na kuwa Spika wa mabunge yote Duniani ( IPU ) hata Leo,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwombea kaka yetu Fiston Kalala Mayele na akawa mchezaji bora wa wakati wote Nje na ndani ya Tanzania nadhani sote tunakumbuka huyu kijana anayechezea timu Pyramids FC hivi Sasa,
Orodha ya waliosaidiwa na Mungu kupitia kwenye kinywa Cha Apostle Bonface Mwamposa ni wengi na hawahesabiki,
Wengine wanakwenda kwa Siri na hawataki mtu yeyote awaone maranyingi hawashuki kwenye magari yao but wanatendewa japo ni ujinga kujificha au kuficha Matendo Makuu ya Mungu wakati kwa waganga mnakwenda tena waziwazi.
Hoja yangu hapa ni , Je? Mwamposa kwa kuzingatia mafundisho yake na Upako alionao huenda ni kweli huyu bwana akawa ni mwana wa Mungu ila sisi imani zetu zimekamatwa na shetani na hivyo tunashindwa kutofautisha kati ya kazi za Shetani na kazi za Mungu?
====
Kama hujawahi kwenda au kumsikiliza Apostle Bonface Mwamposa jipe muda wa kumfuatilia kabla hujamsema vibaya kwani ni kujitafutia laana toka kwa Mungu ALIYEMTUMA MWAMPOSA.
Mfuatilie: Azam channel No 469
Startimes channel No 117
You tube: Mwamposa Live
You tube : Arise & shine Tanzania
Instagram: Arise & shine Tanzania
Njóo hapa Kawe wewe mjanja utapokea na hilo liugonjwa lako litapona kabisaWapumbavu ndiyo chanzo cha utajiri wa Wajanja duniani haswa Africa tunapigwa sana.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kalaghabaho hela tangu lini inakaa mkononi hela yake matumizi stuka weweMimi sikwenda Kawe,ila nikiwa Mwanza Mwamposa alikuwa kwenye kipindi cha ,"Operesheni Komboa familia"akasema chukua Maji ya nyumbani na Mafuta na uelekeze kwenye screen,nilifanya kama alivyoelekeza baadaye baada ya kuyaombea akasema rusha maji sebuleni,vyumbani na mpaka nje ya geti ninapoingilia.
Halo nilichokikuta asubuhi ndani chini ya kitanda kuna Nnge ba buibui mkubwa kafa na nje getini kwa juu nilikuta dawa imefungwa na nywele kwenye karatasi ya nylon.Nilishangaa sana!
Ile nyumba kila nikipata hela ilikuwa haikai mkononi na sikuwa na maendeleo yoyote.Ila sasa baada ya kuhama pale kipato changu kilekile,nimenunua viwanja na sasa najenga kiurahisi kabisa.Wakuu uchawi upo,Mwamposa anasaidia tusimbeze,Mimi sijawai kuonana nae zaidi uya kufuata maelekezo yake kwenye screen!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ikiwa na maana ya kwamba?Biblia inasema wakamshinda shetani kwa neno la USHUHUDA
Haujajibu nilichouliza? Nimeuliza mtu ambaye sio mkristo haamini Mungu anayemuamini Mwamposa, je atainua vp imani yake ili hiyo miujiza iweze kutendeka kwake kutoka kwa Mungu anayemuamimi Mwamposa? maana unasema tu wainue imani ila hausemi wainue vp hiyo imani kwa huyo Mungu.Hata Yesu kilichomfanya wamwamini kama yeye ni mwana wa Mungu ni ishara na miujiza aliyoifanya ,
Kama Kanisa halina ishara Wala miujiza jua kabisa hiyo ni Club tu,
Mungu wetu ni Mungu wa udhihirisho,
Huwa hakai kimya tangu enzi za Elia, Elisha hata sasa,
Kanisa la kutoa sadaka na kuondoka hiyo ni Club tu au kikoba,
Hii huduma ya miujiza inawakuza na kuwatangaza hao manabii na si Mungu, jinsi Mwamposa alivyokuwa maarufu kama hiyo miujiza ingekuwa na athari kwenye imani za wakristo na miujiza hiyo ingekuwa ikimtabulisha Mungu kwa wenye kuamini basi angekuwa akizungumziwa sana Yesu hata kwa wasio wakristo kutokana na hiyo miujiza na tungeona imani za wakristo kuimarika zaidi kutokana na Mungu wao kutenda miujiza.Na wataangamia kwelikweli,
Watu wanajichelewesha tu na kujifanya wajuaji,
Huo ndio ukweli hata kama wao hawajagundua hilo.Ninacho jua Mimi ni kwamba Boniface Mwamposa ndiye mungu halisi kwa hao wanategemea miujiza ya kumbewa na huyo mungu Mwamposa!
Watu wazima tu sio wagonjwa ila wanalala huko huko ili kuwahi nafasi halafu unasema apelekwe mgonjwa wa kutoka hospitali? Kwa nini asiende yeye hospitali kutoa huduma yake ya miujiza kwa wagonjwa huko hospitali kuliko kusema et mgonjwa atolewe hospitali na kumfuata Mwamposa?Húu sio utaratibu wa Mungu,
Watoeni muwapeleke wote watapona,
Imani ni kumtafuta Mungu,
Kutoka Hospitali mpka Kawe ni kitendo Cha imani lazima apone
Kwani kabla ya Mwamposa watu walikuwa wanatatua vp hizo shida?Huenda mjinga ukawa ni wewe unayeteseka na magonjwa, Umasikini na shida mbalimbali na unajifanya mwamba,
Hapana, Sifa na Utukifu ni Kwa Mungu,Hii huduma ya miujiza inawakuza na kuwatangaza hao manabii na si Mungu, jinsi Mwamposa alivyokuwa maarufu kama hiyo miujiza ingekuwa na athari kwenye imani za wakristo na miujiza hiyo ingekuwa ikimtabulisha Mungu kwa wenye kuamini basi angekuwa akizungumziwa sana Yesu hata kwa wasio wakristo kutokana na hiyo miujiza na tungeona imani za wakristo kuimarika zaidi kutokana na Mungu wao kutenda miujiza.
Ila anayezungumziwa ni Mwamposa tu, kwa maana watu huenda kwa Mwamposa kama mbadala wa kwenda kwa mganga kwa kukwepa gharama na wengine ni kukosa tu matumaini na kujikuta anashawishika kwenda huko kutokana na sifa anazosifiwa nazo Mwamposa(si Mungu).
Mkuu hii mbona ipo wazi kwamba Mwamposa anapata umaarufu na hiyo miujiza kuliko Yesu, hii miujiza haileti athari ya kiimani kwa Mungu bali inamtia umaarufu na kumtukuza Mwamposa.Hapana, Sifa na Utukifu ni Kwa Mungu,
Hata Punda aliyembeba Yesu kuingia Kalilaya alipata umaarufu,Mkuu hii mbona ipo wazi kwamba Mwamposa anapata umaarufu na hiyo miujiza kuliko Yesu, hii miujiza haileti athari ya kiimani kwa Mungu bali inamtia umaarufu na kumtukuza Mwamposa.
Occult and rituals also don't need all that, soma nilipoweka bold kwa umakini kisha soma nilipoweka mstari wa kati alafu nifuateApostle Bonface Mwamposa, ibada zake zote hazina Misingi ya dini au dhehebu lolote ila
" IMANI KWA YESU KRISTU NA MUNGU ALIYEMTUMA "
Watu wanamfahamu Mwamposa zaidi kuliko hata huyo Yesu, watu hawajali zilikotoka hizo nguvu za miujiza.Hata Punda aliyembeba Yesu kuingia Kalilaya alipata umaarufu,
Ni ngumu kumbeba Yesu na nguvu zake halafu watu wasikufahamu
Wasomi wa dini hawa,Occult and rituals also don't need all that, soma nilipoweka bold kwa umakini kisha soma nilipoweka mstari wa kati alafu nifuate
...requirements you need to “check” before you ASK12BE1.
"A Community of Good Men, Who Believe in the Importance of Brotherhood & Friendship"
...he will never be a stupid Atheist nor an irreligious Libertine…to be good Men and True, or Men of Honour and Honesty by whatever denominations or persuasions they may be distinguished;
Must Believe in a Supreme Being?
Keep on thinking
Hapana wote wanaotendewa Wanasema wametendewa na Yesu sio MwamposaWatu wanamfahamu Mwamposa zaidi kuliko hata huyo Yesu, watu hawajali zilikotoka hizo nguvu za miujiza.