Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

Wasomi wa dini hawa,
Which Dini? Na anasema anahudumia pasipo kufuata misingi ya Dini yoyote? Did you catch the point? Do you know the meaning of Christianity and where is it coming from? Does it say you can obey the supreme being without being a person of certain religious beliefs?

People are making money by using the name of Jesus C, you understood?

It is all about religious businesses Jesus C used as a catalyst and it all about financial system I mean it's all about money money money sadaka sadaka sadaka lipa kwa MPesa TigoPesa Airtel Money, people are poor, poor mind, poor thinking capacity, poor education about religion, poor education about who is a true GOD and who is not or who is GOD and where is GOD? Big time questions
 
View attachment 2849652View attachment 2849653View attachment 2849654
View attachment 2849655

Habari Tanzania,

Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer.

Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es Salaam Tanzania.

Apostle Bonface Mwamposa amekuwa na wafuasi wengi wanaoongezeka siku baada ya siku mwezi baada ya mwezi au mwaka kwa mwaka yaani ni mamilioni kwa mamilioni ya waamini toka nje na ndani ya bara la Africa,

Apostle Bonface Mwamposa, ibada zake zote hazina Misingi ya dini au dhehebu lolote ila " IMANI KWA YESU KRISTU NA MUNGU ALIYEMTUMA "

Apostle Bonface Mwamposa, anahudumia Watu wakristo kwa Watu Waisilamu au hata wale wote wasio na dini kabisa kama akina Yeriko Nyerere nao pia wakiamini wanapokea uponyaji wa mwili na roho pamoja na haja zao kutimilizwa na Mungu wa Boniface anayejibu kwa Moto,

Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwambia Mhe Dkt Willium Ruto kwamba "Nenda Utashinda Uchaguzi" na mishowe Ruto akashinda Urais,

Bila Mungu ilikuwa ni ngumu sana mtu kama Mhe Willium Samoi Ruto kuwashinda Mhe Raila Omolo Odinga na Kenyatta Uhuru ila Mungu wa Boniface akafanya jambo pale Kenya na dunia ikashangaa kilichotokea,

Apostle Bonface Mwamposa, Ndiye aliyemwombea pia Mhe Dkt Tulia Ackson na akashinda na kuwa Spika wa mabunge yote Duniani ( IPU ) hata Leo,

Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwombea kaka yetu Fiston Kalala Mayele na akawa mchezaji bora wa wakati wote Nje na ndani ya Tanzania nadhani sote tunakumbuka huyu kijana anayechezea timu Pyramids FC hivi Sasa,

Orodha ya waliosaidiwa na Mungu kupitia kwenye kinywa Cha Apostle Bonface Mwamposa ni wengi na hawahesabiki,

Wengine wanakwenda kwa Siri na hawataki mtu yeyote awaone maranyingi hawashuki kwenye magari yao but wanatendewa japo ni ujinga kujificha au kuficha Matendo Makuu ya Mungu wakati kwa waganga mnakwenda tena waziwazi.

Hoja yangu hapa ni , Je? Mwamposa kwa kuzingatia mafundisho yake na Upako alionao huenda ni kweli huyu bwana akawa ni mwana wa Mungu ila sisi imani zetu zimekamatwa na shetani na hivyo tunashindwa kutofautisha kati ya kazi za Shetani na kazi za Mungu?
====

Kama hujawahi kwenda au kumsikiliza Apostle Bonface Mwamposa jipe muda wa kumfuatilia kabla hujamsema vibaya kwani ni kujitafutia laana toka kwa Mungu ALIYEMTUMA MWAMPOSA.

Mfuatilie: Azam channel No 469
Startimes channel No 117

You tube: Mwamposa Live
You tube : Arise & shine Tanzania

Instagram: Arise & shine Tanzania

Wewe na yeye wote wahuni
 
Hapana wote wanaotendewa Wanasema wametendewa na Yesu sio Mwamposa
Ingekuwa hivyo kweli tungeona athari zake kwa umaarufu wa Mwamposa kama hiyo miujiza ingekuwa inawafanya watu kumtambua Yesu basi tungeona athari ya imani zao kwa Yesu, kuna wasio wakristo ambao ni wafuasi wazuri tu wa Mwamposa kama wangekuwa wanaamini miujiza ya Mwamposa ni kutoka kwa Yesu basi tungeona mamia ya watu wakimfuata huyo Yesu ila ukweli kilichopo ni Mwamposa na miujiza yake basi.
 
Fuatilia vizuri shuhuda zote mwisho wa siku Mwamposa anawauliza "Nani amekutendea haya" wanajibu ni Yesu au ni Mungu. Jipe muda brother usitende kwa kusikia tu.
 
Nabii anaitwa mwamposa we uliona wapi nabii akawa mnyakyusa
 
Fuatilia vizuri shuhuda zote mwisho wa siku Mwamposa anawauliza "Nani amekutendea haya" wanajibu ni Yesu au ni Mungu. Jipe muda brother usitende kwa kusikia tu.
Sasa kama wameulizwa ulitegemea wajibu nini? mwisho wa siku Mwamposa ndio anapata umaarufu na kutukuzwa kuliko huyo Yesu, angalia jinsi Mwamposa anavyojitangaza na majina anayojiita vyote ni kujikuza na anapiga vijembe wengine kujionyesha kuwa yeye ni wa pekee na ni bingwa wa miujiza.

Ndio maana nasema kama hiyo miujiza ingekuwa ina athari katika imani za watu kuhusu Mungu basi tungeona ya kushangaza hapa Dar, ila ajabu hao wakristo imani zao hazikui kwa hiyo miujiza wala hata waislamu wanaoenda huko hata hawajali nguvu za hiyo miujiza inatoka wapi na wala hawamfuati huyo Yesu.
 
Huyo ni tapeli kama matapeli wengine anaetumia kigezo cha utumishi kutapeli watu tena inatakiwa serikali ichukue Kodi kwenye ule udongo anaouza, maji mafuta na vingine anavyo uzia watu japo najua kuna wakubwa anakula nao
 
Kuna ndugu yangu ana shida ya kutoshika mimba alienda hosp akaambiwa mirija ya mayai imeziba hivyo afanyiwe upasuaji gharama zikamshinda akaanza mahudhurio kwa mwamposa karibu huu sijui mwaka wa ngapi hajawahi shika mimba hadi alishaacha mahudhurio
 
Mungu anatafuta imani sio mahudhurio mengi sijui mwaka au miaka,
 
Huyo ni tapeli kama matapeli wengine anaetumia kigezo cha utumishi kutapeli watu tena inatakiwa serikali ichukue Kodi kwenye ule udongo anaouza, maji mafuta na vingine anavyo uzia watu japo najua kuna wakubwa anakula nao
Maji kodi analipa na stika kwenye maji zipo, Kwenye mafuta pia kodi inalipwa na anayemuuzia,
===
UDONGO NI BURE KABISA NA NI UDONGO UNAKUJA NAO MWENYEWE KUTOKA KWAKO
 
Maji kodi analipa na stika kwenye maji zipo, Kwenye mafuta pia kodi inalipwa na anayemuuzia,
===
UDONGO NI BURE KABISA NA NI UDONGO UNAKUJA NAO MWENYEWE KUTOKA KWAKO
Yule mfanya biashara na tapeli kwa kivuli cha dini, udongo anauza kama ambavyo anauza maji na mafuta
 
Yule mfanya biashara na tapeli kwa kivuli cha dini, udongo anauza kama ambavyo anauza maji na mafuta
Hapana, Hauzi usitende dhambi jaribu kwenda kuuliza au nenda mwenyewe
 
Hapana, Hauzi usitende dhambi jaribu kwenda kuuliza au nenda mwenyewe
Nikaulize kitu gani na wakati nilishudia alipokua mkoa mmoja hivi mwaka huu, huyo ni tapeli tuu
 
haya nyanyuasadaka Yako Juu nikuombee.(babaa nazibariki sadakahizi zawatoto wako uende ukawaongezee pale palopopungua ameeeen)

ukishaweka sadakayako unainua sadakayako yaukombozi nayo niiombee(blaaablaaaa...ameen)

ukishaweka sadakayako yaukombozi unainua sadaka Yako yafungu lakumi niiombee mtotowangu(baba blaaablaaaa..amén)

mwenyesadaka yashukurani ainue Juu nimuombee😁😁😁😁😁😁
wakirisitoo shikamonii mubarikiwe mnajua kutimiza ndotozawatu
Kila sadaka iko kwa mujibu wa maandiko
 
Back
Top Bottom