Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

Possibly anaongea hivyo simply nchi anakosemea hayo kwa sasa wako wachache. As they increase to become majority like in Mali, Mauritania, Niger, Burkina Faso, etc. lugha haitakuwa hiyo.
 
Uislam si sawa na Ukafiri na ndio maana sisi kila mmoja ni lazma aisome Dini yake na aijue na amjue mola wake na Mtume wake.
Sasa Katika dini hii hata leo hii MUFT anajitokeza na kulizungumzia jambo lolote ,kwanza
1. Anajua kuwa huenda katika hadhira iliyopo kuna huenda ½ yao wana elimu kumzid hata Yeye
2. Tutamdai atupe ushahidi wa wapi ametoa kauli hiyo aidhe Je ni katika Qur'an au Hadith za Rasoul (sala na Salamu juu yake)

Kwahiyo kuzungumza hivyo si ajabu ikiwa References ya alichosema anayo. Na jambo hilo lipo kuanzia Qur'an kuanzia sura ya pili.

Ama kuhusu mavazi ya kiislam hakuna kinachomsumbua KAFIRI yoyote juu ya Ardhi zaidi ya Maradhi ya Chuki hivyo hapo ni mahala pako waweza ita vyovyote lakin hii ni Identity ya Uislam- ila hata kiongozi wenu Mkuu analivaa
 
Mui

Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..muislam anaangalia Quran na mtume kasema nini. Sio sheikh kasema. Kuna Wakiristo wanavaa makanzu kujifanya masheikh kumbe wako hapo kwa ajili ya ukiristo
 
Sisi makafir tukajitoe mhanga kuwalipua mkafir wenzetu .....
 
Mui
Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..muislam anaangalia Quran na mtume kasema nini. Sio sheikh kasema. Kuna Wakiristo wanavaa makanzu kujifanya masheikh kumbe wako hapo kwa ajili ya ukiristo

Mada haihusu Wakristo, jamaa kama unapagawa vile. Tatizo ukivaa hiyo dera akili zinakuhama...
Huyu imam ameweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi.
 
Mui
Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..muislam anaangalia Quran na mtume kasema nini. Sio sheikh kasema. Kuna Wakiristo wanavaa makanzu kujifanya masheikh kumbe wako hapo kwa ajili ya ukiristo
Kwa maneno haya unaweza kudhani wale wanaojitoaga mhanga ni Wakristo; kumbe ni waislamu waliopewa mafundisho ya kusadikika.
 
Uislam si sawa na Ukafiri na ndio maana sisi kila mmoja ni lazma aisome Dini yake na aijue na amjue mola wake na Mtume wake.
Sasa Katika dini hii hata leo hii MUFT anajitokeza na kulizungumzia jambo lolote ,kwanza
1. Anajua kuwa huenda katika hadhira iliyopo kuna huenda ½ yao wana elimu kumzid hata Yeye
2. Tutamdai atupe ushahidi wa wapi ametoa kauli hiyo aidhe Je ni katika Qur'an au Hadith za Rasoul (sala na Salamu juu yake)

Kwahiyo kuzungumza hivyo si ajabu ikiwa References ya alichosema anayo. Na jambo hilo lipo kuanzia Qur'an kuanzia sura ya pili.

Ama kuhusu mavazi ya kiislam hakuna kinachomsumbua KAFIRI yoyote juu ya Ardhi zaidi ya Maradhi ya Chuki hivyo hapo ni mahala pako waweza ita vyovyote lakin hii ni Identity ya Uislam- ila hata kiongozi wenu Mkuu analivaa
Mkuu, zingatia matumizi sahihi ya herufi kubwa na ndogo. Ni Mola, sio mola.
 
Watu wa dini ukiona anaongea ongea sana ujue hamna kitu
 
Mui
Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..
Uongo Kwenye Uislamu ndiko.kwenye hiyo shida sio Ukristo.Ndio maana unakuta mtu anavaa mabomu na kulipua kujitoa mhanga sababu shehe wake kamwambia.
 
Huyo Imamu ni Msaudia?
Mecca ni mji wa Wasaudia
Waislamu wengine wana connection nao kwenye ibada lakini hawana haki ya kulazimisha kuishi pale!
 
brazaj na wavaa dera wenzako hii inawahusu...

1. Tofautisha nguo za watumishi wa Mungu wakiwamo wachungaji, waimbaji kwaya nk na Madera:

IMG_20240409_064204.jpg

2. Pamoja na kuwa miye siyo hao ambao ungependa niwe, nisiache kukumbusha mgogoro wa Gaza ni wa kiutawala na si kidini.

IMG_1567.jpg

3. Unayo credibility ipi mburula wewe kujidhania kuwa na ujuzi zaidi ya kina Mandela ndugu?

4 matunduizi nakuletea brain-washee mwingine huyo; ongezea kwenye database:

'e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.

g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.'
 
Huyo Imamu ni Msaudia?
Mecca ni mji wa Wasaudia
Waislamu wengine wana connection nao kwenye ibada lakini hawana haki ya kulazimisha kuishi pale!

Pale ndio muarabu alibuni hiyo dini, hivyo mliodandia hiyo dini wasklizeni kama ambavyo huwa mnawaskliza mnapojilipua mabomu, ndio maana wanawatukana sana nyie...

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
 
1. Tofautisha nguo za watumishi wa Mungu wakiwamo wachungaji, waimbaji kwaya nk na Madera:

View attachment 2958402

2. Pamoja na kuwa miye siyo hao ambao ungependa niwe, nisiache kukumbusha mgogoro wa Gaza ni wa koutawala na si kidini.

View attachment 2958404

3. Unayo credibility ipi mburula wewe kujidhania kuwa na ujuzi wewe zaidi ya kina Mandela?

4 matunduizi nakuletea brain-washee mwingine huyo ongezea kwenye database:

'e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.

g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.'

Mmatumbi unaburuza dera hapo Buza eti ufanane na muarabu....hehehe huwa mna ujuha.
 
1. Kumbe hawa wanaburuza nini ili wafanane na nani ndugu?

IMG_20240409_064204.jpg

2. Angalizo, una uhakika mada zako hizi uchwara zisizokuwa na mashiko, Moderators, Invisible au wale wengine wamezi idhinisha kukidhi vigezo?

3. Kwa hakika unaishusha sana hadhi ya jukwaa kuwa hata chini ya Facebook huko.
 
Irejeshee akili hadhi yake ili uweze kujibu sawasawa.

Waislamu ni Makafir wa Kwanza kwa matendo yetu.... Wauaji wakubwa sana wasio na huruma ni waisilamu. Wakianzia na Muhamad mwenyewe alikuwa jangili akivamia watu kupora mali zao.
 
Back
Top Bottom