Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ukristo ni mkubwa sana, ndani yake una branches nyingi. Huwezi jumuisha wakristo wote under branch moja or ka unit ukasema wote wako hivyoMui
Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..muislam anaangalia Quran na mtume kasema nini. Sio sheikh kasema. Kuna Wakiristo wanavaa makanzu kujifanya masheikh kumbe wako hapo kwa ajili ya ukiristo
And for the record hata uislam una madudu, wanakuwa brain washed na kujilipua maeneo mbali mbali wale ni dini gani? Je waislam wote wanajilipua nope