Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..muislam anaangalia Quran na mtume kasema nini. Sio sheikh kasema. Kuna Wakiristo wanavaa makanzu kujifanya masheikh kumbe wako hapo kwa ajili ya ukiristoWenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza.....
View: https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza.....
View: https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
Uislam si sawa na Ukafiri na ndio maana sisi kila mmoja ni lazma aisome Dini yake na aijue na amjue mola wake na Mtume wake.
Sasa Katika dini hii hata leo hii MUFT anajitokeza na kulizungumzia jambo lolote ,kwanza
1. Anajua kuwa huenda katika hadhira iliyopo kuna huenda ½ yao wana elimu kumzid hata Yeye
2. Tutamdai atupe ushahidi wa wapi ametoa kauli hiyo aidhe Je ni katika Qur'an au Hadith za Rasoul (sala na Salamu juu yake)
Kwahiyo kuzungumza hivyo si ajabu ikiwa References ya alichosema anayo. Na jambo hilo lipo kuanzia Qur'an kuanzia sura ya pili.
Ama kuhusu mavazi ya kiislam hakuna kinachomsumbua KAFIRI yoyote juu ya Ardhi zaidi ya Maradhi ya Chuki hivyo hapo ni mahala pako waweza ita vyovyote lakin hii ni Identity ya Uislam- ila hata kiongozi wenu Mkuu analivaa
Mui
Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..muislam anaangalia Quran na mtume kasema nini. Sio sheikh kasema. Kuna Wakiristo wanavaa makanzu kujifanya masheikh kumbe wako hapo kwa ajili ya ukiristo
Kwa maneno haya unaweza kudhani wale wanaojitoaga mhanga ni Wakristo; kumbe ni waislamu waliopewa mafundisho ya kusadikika.Mui
Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..muislam anaangalia Quran na mtume kasema nini. Sio sheikh kasema. Kuna Wakiristo wanavaa makanzu kujifanya masheikh kumbe wako hapo kwa ajili ya ukiristo
Mkuu, zingatia matumizi sahihi ya herufi kubwa na ndogo. Ni Mola, sio mola.Uislam si sawa na Ukafiri na ndio maana sisi kila mmoja ni lazma aisome Dini yake na aijue na amjue mola wake na Mtume wake.
Sasa Katika dini hii hata leo hii MUFT anajitokeza na kulizungumzia jambo lolote ,kwanza
1. Anajua kuwa huenda katika hadhira iliyopo kuna huenda ½ yao wana elimu kumzid hata Yeye
2. Tutamdai atupe ushahidi wa wapi ametoa kauli hiyo aidhe Je ni katika Qur'an au Hadith za Rasoul (sala na Salamu juu yake)
Kwahiyo kuzungumza hivyo si ajabu ikiwa References ya alichosema anayo. Na jambo hilo lipo kuanzia Qur'an kuanzia sura ya pili.
Ama kuhusu mavazi ya kiislam hakuna kinachomsumbua KAFIRI yoyote juu ya Ardhi zaidi ya Maradhi ya Chuki hivyo hapo ni mahala pako waweza ita vyovyote lakin hii ni Identity ya Uislam- ila hata kiongozi wenu Mkuu analivaa
Irejeshee akili hadhi yake ili uweze kujibu sawasawa.Sisi makafir tukajitoe mhanga kuwalipua mkafir wenzetu .....
Watu wa dini ukiona anaongea ongea sana ujue hamna kituUislam si sawa na Ukafiri na ndio maana sisi kila mmoja ni lazma aisome Dini yake na aijue na amjue mola wake na Mtume wake.
Sasa Katika dini hii hata leo hii MUFT anajitokeza na kulizungumzia jambo lolote ,kwanza
1. Anajua kuwa huenda katika hadhira iliyopo kuna huenda ½ yao wana elimu kumzid hata Yeye
2. Tutamdai atupe ushahidi wa wapi ametoa kauli hiyo aidhe Je ni katika Qur'an au Hadith za Rasoul (sala na Salamu juu yake)
Kwahiyo kuzungumza hivyo si ajabu ikiwa References ya alichosema anayo. Na jambo hilo lipo kuanzia Qur'an kuanzia sura ya pili.
Ama kuhusu mavazi ya kiislam hakuna kinachomsumbua KAFIRI yoyote juu ya Ardhi zaidi ya Maradhi ya Chuki hivyo hapo ni mahala pako waweza ita vyovyote lakin hii ni Identity ya Uislam- ila hata kiongozi wenu Mkuu analivaa
Uongo Kwenye Uislamu ndiko.kwenye hiyo shida sio Ukristo.Ndio maana unakuta mtu anavaa mabomu na kulipua kujitoa mhanga sababu shehe wake kamwambia.Mui
Wakiristo ndio wanaomini maneno ya mapadri ndio maana wakiambiwa waingie kwenye tanuri wachomwe wakapate uzima wanaingia, wasile miezi 4 hawali mwisho wanakufa kama mzige. Upuuzi huo ktk uislam haupo..
Msamehe bure elimu yake ya madrasa ya kuamdika kutoka kulia kwenda kushotoMkuu, zingatia matumizi sahihi ya herufi kubwa na ndogo. Ni Mola, sio mola.
brazaj na wavaa dera wenzako hii inawahusu...
Huyo Imamu ni Msaudia?
Mecca ni mji wa Wasaudia
Waislamu wengine wana connection nao kwenye ibada lakini hawana haki ya kulazimisha kuishi pale!
1. Tofautisha nguo za watumishi wa Mungu wakiwamo wachungaji, waimbaji kwaya nk na Madera:
View attachment 2958402
2. Pamoja na kuwa miye siyo hao ambao ungependa niwe, nisiache kukumbusha mgogoro wa Gaza ni wa koutawala na si kidini.
View attachment 2958404
3. Unayo credibility ipi mburula wewe kujidhania kuwa na ujuzi wewe zaidi ya kina Mandela?
4 matunduizi nakuletea brain-washee mwingine huyo ongezea kwenye database:
'e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.
f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.
g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.'
Mmatumbi unaburuza dera hapo Buza eti ufanane na muarabu....hehehe huwa mna ujuha.
Irejeshee akili hadhi yake ili uweze kujibu sawasawa.