Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

Ukristo ni mkubwa sana, ndani yake una branches nyingi. Huwezi jumuisha wakristo wote under branch moja or ka unit ukasema wote wako hivyo

And for the record hata uislam una madudu, wanakuwa brain washed na kujilipua maeneo mbali mbali wale ni dini gani? Je waislam wote wanajilipua nope
 
Possibly anaongea hivyo simply nchi anakosemea hayo kwa sasa wako wachache. As they increase to become majority like in Mali, Mauritania, Niger, Burkina Faso, etc. lugha haitakuwa hiyo.
Kweli usemalo.
Lakini asemalo pia lina ukweli isipokuwa wayahudi pia walilipata eneo hilo kupitia Abraham mgeni toka maeneo ya Babeli au Mesopotamia (Iraq ya Sasa).
Kiasili haikuwa ardhi yao.
Wakaipoteza walipoenda kuishi Misri kisha wakarudi kuichukua kwa mabavu na Joshua kwa maelekezo ya Mose.
 
Waislamu ni Makafir wa Kwanza kwa matendo yetu.... Wauaji wakubwa sana wasio na huruma ni waisilamu. Wakianzia na Muhamad mwenyewe alikuwa jangili akivamia watu kupora mali zao.

1. Bila kuyatambua, kuyatofautisha na kuyatendea haki makundi haya (na hasa kama ni mmoja wao):

'e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.

g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.'

Tutakuwa Bado tupo tupo sana!
2. Utatambua vipi idadi ya watu waliokufa kwenye kumpigania Mungu?

3. Kwani waliokuwa wakifa kwa jina la mwenyezi Mungu kuanzia Abeli, pita Sodoma na Gomorrah, kina Samson, Golliath, vita vya kina David, vimbwanga vya kina Herode nk walikuwa wanauliwa na waislam?
 

Bila shaka hali kadhalika na uislam? Au siko sahihi ndugu?
 
pumbavu
 
Vita vya dunia vyote waliopigana ni nchi za kikiristo vs Cristian. Japan iliripotiwa na Cristian country. Unabisha?
 
Mtoto akizaliwa anakua muislam. Akipata akili ndio anachagua anaenda kwenye ukafiri au anabaki ktk nuru yaani uislam.
ndio mlivyofundishwa hivyo? Sasa kama akienda kwenye ukafiri kuna ubaya gani mpaka achukiwe?
 

Halafu wengi wenu hizo dera hamzifui, hehehe
 
Shekhe amewatrigger Mashabiki wa Hamas πŸ˜†πŸ€£πŸ˜‚

Ukweli kabisa Ajenda ya Uisilamu ni kufuta Historia ndio maana wanasema Adam alikuwa Mwislam Hawa alikuwa Mwislam.

Hata Story za Mongols General Hulagu kuichoma Baghdad zinafichwa sana.

Wanakwambia Mussa alikuwa muislam Issa alikuwa muislam Historia inaanzia Hijria.

Wamezulumu Nchi nyingi lakini Spain na Israel zimefight back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…