Huyu Israel Mwenda amshindia nini Kibabage? Mi Yanga sasa yanchanganya

Tatizo unasoma bila kuelewa

Nimekuambia Simba ikikutana na rivals wenye uchumi mkubwa ndio utaona hizo tetesi.
Wachezaji wote waliosajiliwa msimu huu, taarifa zao zote zimevuja mitandaoni kabla hata ya kusainishana nao mikataba, je wachezaji wote hao Simba ilikutana na rivals wenye uchumi mkubwa?
 
Kama ni hivyo mbona Simba kwenye usajili wa dirisha kubwa wame endelea kupuyanga?
Debora aliyeonekana kama mchezaji wa maana tayari kocha amuelewi, uyo Ahua ndio kabisa mashabiki awamuelewi mmerudi kulekule kwa Kibu ndiye mnaye mtegemea atawavusha robo.
 
Sasa kocha wako kamwona wapi huyo mchezaji kama alikuwa hachezi pale singida
 
Reactions: Tui
Simba ikiwaacha ndo utajua jinsi utopolo wanavyowahitaji...
 
Napenda mbwa anaye kuwepo kwenye lindo nyumbani na siyo kuzurula, una shangaa uko mtaani anakukimbilia, hahahaa
 
Simba ikiwaacha ndo utajua jinsi utopolo wanavyowahitaji...
Hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kupata nafasi ya kuanza ndani ya kikosi cha Yanga mpaka sasa.

Ata ao waliosajiliwa Yanga wakitokea Simba bado hakuna aliyefanikiwa kuanza kikosi cha kwanza cha Yanga.
 
Hivi Hawa wameligwa au? Ndo takataka gan mmetuletea? Kama mmechoka kua viongoz Kwan hamuwez kuondoka bila kuiua Yanga? Mmetumwa au?
 
Hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kupata nafasi ya kuanza ndani ya kikosi cha Yanga mpaka sasa.

Ata ao waliosajiliwa Yanga wakitokea Simba bado hakuna aliyefanikiwa kuanza kikosi cha kwanza cha Yanga.
Hao wa kikosi cha kwanza mlionao wana wa offer nini kwa sasa zaidi ya kubamizwa vipigo vya moto moto? Mpk kwa sasa mnahoji why Baleke asicheze..yani kutoanza kwao ni siasa tuu na aibu ya kuyalamba matapishi yenu kwa sbb wakiwa simba mlisema hawataanza kikosi cha kwanza...hivyo kwa sbb ya aibu mnawaweka bench ila ndo super sub zikiingia...
 
Ninyi c wala mabaki ya simba kila siku. Aka fisi fc. Leo unqshangaa nini..
 
Huyu ni mzuri kucheza kuliko Kibababge,Kibwana na Nkane. Eng shikilia hapohapo
Ni kweli mkuu kibabange akishapitwa tu na mpinzani akiwa mbele yake anashindwa kukaba tatizo lake mwili mdogo
 
Mimi Yanga siwezi kuiombea mazuri hilo najua lakini haimannishi kuwa inapokosea siwezi kusema

Pengine nasema ili niwaone watu ambao mnaonekana kukubaliana na huu usajili ili huko mbeleni nianze kuhesabu wanafki.
Mchezaji wa Mkopo,hana kiwango kibaya,hata gharama ya mshahara wake utakuwa mdogo na haiumizi club. Ktk hili Yanga hawajakosea sababu hatokuja kuwaumiza kwenye mkataba.
 
Kwani Simba mmesajili mcheza gani wa maana ukiachana na dada Debora??
mchezaji gani pale Yanga ana takwimu bora (goals + assissts) kumzidi Ahoua? Ni kipa gani ana clean sheets nyingi zaidi NBC league? Kesi yanu na Kagoma iliishaje?
 
Sheikh wangu hili si twalijua...lakini sasa yatupasa tusimame wenyewe... Hatuwezi wategemea simba siku zote au kuanza sajili waloachwa na simba.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20241211-153351.png
    540 KB · Views: 2
Timu kubwa inapoacha wachezaji ndiyo wakati wa timu ndogo kuokoteza na kuwasajili.
 

Attachments

  • Screenshot_20241211-153351.png
    540 KB · Views: 2
Kocha ameshirikishwa???au ndo yale yale,tunakuchukua lkn 10% ni yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…