Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Hamna shida ikiwa walikubaliana. Kama unaona walioingia nae mkataba wa awali Kuna shida, kwa nini usione pia huu wa mauziano wa sasa na huyo kuringe nao una shida? Usikae upande mmojaNi SAWA Mambo ya familia, yanaweza kuwepo ila pia huo mkataba na huyo mpangaji nao ni ukakasi zaidi , how mkataba for ten years!! Hapana Kuna shida, ila maendeleo ya miji yetu yanawahitaji akina Kuringe wengi zaidi
Umeshakunywa dawa?Hao watoto wa maftah si wana mama wa kambo
Ova
Argue with facts sio kuleta chuki binafsiTatizo lenu wabongo huwa mnapagawa na kiki za viongozi wakiwa wanamulikwa na camera ilhali chanzo cha matatizo hakitafutiwi suluhisho la kudumu. Huyo jery slaa ni msanii km walivyo wanasiasa wengine.
Makubaliano ya mauziano, is a one time activity, ndio maana hiyo simu Yako baada ya kununua ni mali Yako halali!! Kama Kuna after purchase services haikuondolei umiliki wako!! Hao akina mama wenye frame zao wanatakiwa wajue umiliki umebadilika, Hilo ni la Muhimu zaidiHamna shida ikiwa walikubaliana. Kama unaona walioingia nae mkataba wa awali Kuna shida, kwa nini usione pia huu wa mauziano wa sasa na huyo kuringe nao una shida? Usikae upande mmoja
Anaweza kujenga Mall na businesses center, ajira watu 1000, hiyo ni More achievementHata huyo atajenga hiyo hiyo mifremu. Unafikiri Kuna uwekezaji gani utafanywa hapo?
Ni kujenga ukumbi wa harusi nje ataweka fremu. Au unafikiri atajenga kiwanda?
Mkuu usiongee kwa kuwa kitu kinakupendeza, sheria yetu ya ardhi inaruhusu alichokifanya huyu dadaNinachokiona huyu maftah alitapeliwa, huwezi mpangisha MTU nae apangishe MTU mwingine bila maridhiano, huyu Dada nae anaisemea kampangisha MTU mwingine, hata NHC hii haikubaliki, Maftah katapeliwa
Nenda kwenye Ile petrol station aliyojiapiza nayo pale mikocheni usipoikuta inafanya KAZI as usual, Sasa hii issue ya ya kusema aliiwezea wizara ndio kufuatili personal businesses au!? Kinachotakiwa wizara ifanye ni kuweka Sera na planning ya mipango Bora ya miji,Argue with facts sio kuleta chuki binafsi
Hili suala la uzee unaweza Kuta mpangaji wa mwanzoni Ndio alitumia Kwa kumrubuni Mzee Kwa pesa za uji na mkataba wa miaka kumi!! My Goddess!! Sasa Familia imeshtuka na kuona Bora kuuza, unaweza kukuta familia inapambana na mkataba wa miaka kumi wa mwanzoni wa kinyonyaji na sio mauziano na kuringe, huyo mpangaji anatakiwa amlalamikie maftah na sio Kuringe mnunuzi mpyaMkuu usiongee kwa kuwa kitu kinakupendeza, sheria yetu ya ardhi inaruhusu alichokifanya huyu dada
Na manunuzi aliyofanya koringe yalipasawa kulinda haki za stake holders wote walioko kwenye eneo
Tatu ,sheria hairubusu kununua ardhi iliyowekewa caveat
NNe sheria ya mikataba inataka mtu anayeingia mkataba awe na sound mind kitu ambacho kinaleta shaka kutokana na afya ya mzee maftah
Hapa kuringe hachomoki, amuulize jack ntuyabaliwe kilichomkuta kwenye mahakama ya rufaa, kule kuna majaji watatu ambao wapo zaidi ya makini ,huwa hawataki ujinga wananyoosha sheria tu ,utafanya ujinga ujinga kwenye mahakama za chini tu
Sera na planning ni kweli kuna changamoto na its a long term process ndio maana unaona wanaanza kudhibiti na kuharakisha utoaji hati kila eneoNenda kwenye Ile petrol station aliyojiapiza nayo pale mikocheni usipoikuta inafanya KAZI as usual, Sasa hii issue ya ya kusema aliiwezea wizara ndio kufuatili personal businesses au!? Kinachotakiwa wizara ifanye ni kuweka Sera na planning ya mipango Bora ya miji,
Ndugu angalia Jambo hili kwenye dimensions tatu, hasa Kwa DSM mji unaokuwa Kwa Kasi ya ajabu, squatter ndio nayo inashamiri, prime area nazo zinaendelezwa squatter, sijajua huu ujasiri wa kumsifia huyu waziri ambaye hakuweka utaratibu wa baadae unaupata wapi!?Sera na planning ni kweli kuna changamoto na its a long term process ndio maana unaona wanaanza kudhibiti na kuharakisha utoaji hati kila eneo
TAbu ya nchi za kiafrika ni siasa na uchoyo, jerry alijaribu kupambana na mfumo ila wenye helq wamemzidi nguvu, alijaribu kusimamia sheria ila labda mwenye ile petrol station ana nguvu zaidi yake kifedha na ndio tatizo linaloitafuna africa , rushwa na ubinafsi akitokea mtu anapambana kama slaa mfumo utamtoa
Ila amekaa muda mfupi sana na aliyofanya kwa muda huo yalikuwa very promising alikuwa na ujasiri wa ajabu wa kunyoosha mfumo,Ndugu angalia Jambo hili kwenye dimensions tatu, hasa Kwa DSM mji unaokuwa Kwa Kasi ya ajabu, squatter ndio nayo inashamiri, prime area nazo zinaendelezwa squatter, sijajua huu ujasiri wa kumsifia huyu waziri ambaye hakuweka utaratibu wa baadae unaupata wapi!?
Hayo ni matamanio ambayo hatujui uhalisia wake utakuaje baada ya kununua. Lakini kupitia sehemu nyingine nyingi alizowekeza tunaweza kuassume kitachoganyikaAnaweza kujenga Mall na businesses center, ajira watu 1000, hiyo ni More achievement
Sasa wewe unayejua si ndiyo ufafanue?Acheni kuhangaika na vitu msivyovijua
Unaongea hivi sababu tupo nyuma ya keyboard na kila mtu anataka kuaminisha kila anakiwaza. Tumekodisha bandari kwa miaka 30 kwa Dp world, unamaanisha kesho wakija wachina wakitaka tuwauzie bandari tunawauzia tu bila shida yoyote?Makubaliano ya mauziano, is a one time activity, ndio maana hiyo simu Yako baada ya kununua ni mali Yako halali!! Kama Kuna after purchase services haikuondolei umiliki wako!! Hao akina mama wenye frame zao wanatakiwa wajue umiliki umebadilika, Hilo ni la Muhimu zaidi
Shida ipo kwa Kuringe kwasababu huwez kuja kuvunja bila amri ya mahakama though siwez fanya judgment cz principle inanitaka kusikiliza pande zote mbili lkn kweny context hio Kuringe anahitajika acompensate madhara aliosababisha pamoja na kias cha pesa ambacho hao wafanyabiashara wangeingiza kama biashara yao ingekua wazi pamoja na hela ya usumbufu.Kutokana na maelezo hapo juu mwenye shida sio Kuringe estate wala Edward Mushi.
Shida ipo kwa Zakaria Maftah kuuza kiwanja chake wakati alishaingia makubaliano na watu wengine. Ilitakiwa kabla ya kuuza awashirikishe hao investors alioingia nao mikataba ya miaka 10.
Fact ni kwamba warekebishe sheria za ardhi zina loopholes nyingi. Hizo loopholes ndio wanazotumia matapeli kudhulum ardhi .Argue with facts sio kuleta chuki binafsi
Hivi unajua maana ya hujuma!!??Unataka kusema nchi hii Kuna watu hawaguswi mpaka rais awaogope ivyo sasa hii ni nchi au kituko?
Mnunuzi ana haki ya kujua mustakabali mzima wa wapangaji waliomo ndani ya jengo analotaka kununua kabla hajalinunua, huwezi kuniambia kisa Mnunuzi tayari kesha nunuuwa alafu ghafla wapangaji wanageuka eti wavamizi hadi wanavunjiwa bila taarifa!!Kabisa,ila kuringe hapo wala hana tatizo ...ttz liko kwa mmiliki na wapangaji wake tu wa zamani
Alafu kwa upande wa mzee maftah naona watoto washing ilia...so kuna mambo ya kifamilia zaidi
Ova
Samahani Kwa Hilo mifremu, hii ni reaction yangu inayotokana kuona fremu Kwa Sasa DSM ni nyingi kuliko wateja, sorry kama nimekukwazaHayo ni matamanio ambayo hatujui uhalisia wake utakuaje baada ya kununua. Lakini kupitia sehemu nyingine nyingi alizowekeza tunaweza kuassume kitachoganyika
Pia mall na business center ajira watu 1000? Bongo hii hii? Mliman city tu ambayo ni kongwe na potential hakuna hizo ajira 1000, ndio ije kuwa hapo? Usitake kutuchota, mm nakubaliana na yeye kununua hapo na kufanya kile anachotaka Ila nilichokupinga ni ile kudharau hiyo unaita mifremu iliyojengwa