Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.Rais wa Yanga amekaa na kamati yake ya utendaji wanadai hawatacheza mechi itakayopangwa.Yaani vichwa vyote vile vinatarajia kupewa point 3 za mezani!
Maandishi mengi lakini hakuna hata sehemu moja umejibu hoja za Jemedari,bila shaka wewe ni kati ya wanaoamini kuwa Yanga watapewa points 3 za mezani kama viongozi wa Yanga,haishangazi kuona kila kesi inayohusu mpira wanaangukia pua.Huyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.
Anyway Tanzania wananchi wake wanaamini kwenye propaganda. Na wanaamini propaganda za media ndo kila kitu. Ndo maana hata hapa JF tangu simba wagomee mechi kumekuwa na mada nyingi sana za kutetea yale maamuzi ya kipambavu walioyafanya wanaoitwa viongozi wa Simba.
Kwa ujinga na upambavu huu tutaendelea kusheherekea mafanikio ya kufika robo fainali mara 6 mfululizo na ujinga wa namna hiyo.
Nyie wenye makomandoo fikeni nusu fainal kabisa Mwaka huuHuyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.
Anyway Tanzania wananchi wake wanaamini kwenye propaganda. Na wanaamini propaganda za media ndo kila kitu. Ndo maana hata hapa JF tangu simba wagomee mechi kumekuwa na mada nyingi sana za kutetea yale maamuzi ya kipambavu walioyafanya wanaoitwa viongozi wa Simba.
Kwa ujinga na upambavu huu tutaendelea kusheherekea mafanikio ya kufika robo fainali mara 6 mfululizo na ujinga wa namna hiyo.
Umesikiliza hoja yake lakini? Ishambulie hiyo hoja embu.Huyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.
Anyway Tanzania wananchi wake wanaamini kwenye propaganda. Na wanaamini propaganda za media ndo kila kitu. Ndo maana hata hapa JF tangu simba wagomee mechi kumekuwa na mada nyingi sana za kutetea yale maamuzi ya kipambavu walioyafanya wanaoitwa viongozi wa Simba.
Kwa ujinga na upambavu huu tutaendelea kusheherekea mafanikio ya kufika robo fainali mara 6 mfululizo na ujinga wa namna hiyo.
Na ndio maana baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi, Yanga wao wakakomaa na bodi ya ligi kwa kitendo cha kuhairisha mechi bila sababu za msingi. Bodi ya ligi ndio imenunua kosa la Simba.Rais wa Yanga amekaa na kamati yake ya utendaji wanadai hawatacheza mechi itakayopangwa.Yaani vichwa vyote vile vinatarajia kupewa point 3 za mezani!
Hakuna hoja mpya hapo kwasababu Yanga wanalia na bodi kuhusu vigezo vya kuhairisha mechi. Kwani hakuna asiyejua kuwa bodi ya ligi imebeba bomu waliojitwisha SimbaUmesikiliza hoja yake lakini? Ishambulie hiyo hoja embu.
Chuki unazo wewe maana umeishia makundi kwa kupewa sifa usizostahili, tatizo wachambuzi wakikosoa Yanga mnaanza kumchukia na akiwapa sifa mnajikuta mnajua kumbe hamna lolote.Huyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.
Anyway Tanzania wananchi wake wanaamini kwenye propaganda. Na wanaamini propaganda za media ndo kila kitu. Ndo maana hata hapa JF tangu simba wagomee mechi kumekuwa na mada nyingi sana za kutetea yale maamuzi ya kipambavu walioyafanya wanaoitwa viongozi wa Simba.
Kwa ujinga na upambavu huu tutaendelea kusheherekea mafanikio ya kufika robo fainali mara 6 mfululizo na ujinga wa namna hiyo.
Hajasikiliza maana jangwani wanagawa supu na siyo bando.Maandishi mengi lakini hakuna hata sehemu moja umejibu hoja za Jemedari,bila shaka wewe ni kati ya wanaoamini kuwa Yanga watapewa points 3 za mezani kama viongozi wa Yanga,haishangazi kuona kila kesi inayohusu mpira wanaangukia pua.
Nyinyi mnafurahia kufika wapi?Huyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.
Anyway Tanzania wananchi wake wanaamini kwenye propaganda. Na wanaamini propaganda za media ndo kila kitu. Ndo maana hata hapa JF tangu simba wagomee mechi kumekuwa na mada nyingi sana za kutetea yale maamuzi ya kipambavu walioyafanya wanaoitwa viongozi wa Simba.
Kwa ujinga na upambavu huu tutaendelea kusheherekea mafanikio ya kufika robo fainali mara 6 mfululizo na ujinga wa namna hiyo.
Nilisikia watu wana msifia kanyooka, nilitamani nione kipi kipya cha maana alichoongea. Kumbe hoja zenyewe ndio hizi halafu watu ndio wanaona jamaa kichwa haswa. Kama huyu ndio anaonekana ni mtoa madini basi Watanzania wana upungufu wa maarifa.Huyu naye ni boya tu!
Kwa hiyo sasa anakiri kuwa Simba hawakuwa na hoja ya msingi kususia mechi, badala yake hoja inakuja baada ya bodi ya ligi kukubali ulagaghai wa Simba! What a freak!
Huyu alikesha na makanuni usiku mzima akiwaaminisha watu kuwa Simba ina hoja ya kususia mechi! Sasa hivi anajificha kwenye mgongo wa makosa ya bodi ya ligi!
Hawa ndio thinkers wetu Tanzania kwenye michezo!
Sasa hapo ujinga wake kwa hiyo clip fupi aliyoongea ni nini au upi?Huyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.
Anyway Tanzania wananchi wake wanaamini kwenye propaganda. Na wanaamini propaganda za media ndo kila kitu. Ndo maana hata hapa JF tangu simba wagomee mechi kumekuwa na mada nyingi sana za kutetea yale maamuzi ya kipambavu walioyafanya wanaoitwa viongozi wa Simba.
Kwa ujinga na upambavu huu tutaendelea kusheherekea mafanikio ya kufika robo fainali mara 6 mfululizo na ujinga wa namna hiyo.
Kama kufika robo fainali ni rahisi mbona timu yako ilitumia miaka 25 ili iweze kuingia kwenye robo fainali moja tu?Huyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.
Anyway Tanzania wananchi wake wanaamini kwenye propaganda. Na wanaamini propaganda za media ndo kila kitu. Ndo maana hata hapa JF tangu simba wagomee mechi kumekuwa na mada nyingi sana za kutetea yale maamuzi ya kipambavu walioyafanya wanaoitwa viongozi wa Simba.
Kwa ujinga na upambavu huu tutaendelea kusheherekea mafanikio ya kufika robo fainali mara 6 mfululizo na ujinga wa namna hiyo.
Na hii ndo maana halisi ya utopwinyoKama kufika robo fainali ni rahisi mbona timu yako ilitumia miaka 25 ili iweze kuingia kwenye robo fainali moja tu?
Maamuzi ya kijinga yalifanywa na viongozi wa utopolo kwa kuwatuma wahuni kwenda kuifanyia fujo simba pale uwanjani.
Ukisoma vizuri barua ya bodi utaona kuwa wameahirisha kwa sababu za msingi na wameiweka kabisa kanuni inayowapa mamlaka ya kuahirisha mechi.Wamepokea taarifa ya Afisa Usalama wa mechi,hiyo ndiyo wameitumia,sasa wewe hujui hata kwenye taarifa ya Afisa Usalama wa mechi ambaye pia ni Afisa wa jeshi la polisi amesema nini unabisha tu.Na ndio maana baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi, Yanga wao wakakomaa na bodi ya ligi kwa kitendo cha kuhairisha mechi bila sababu za msingi. Bodi ya ligi ndio imenunua kosa la Simba.
Sasa Yanga chini ya Rais wao wanapata wapi hoja ya kudai points 3 wakati kwenye mechi waliyodai kucheza hakukuwa na waamuzi wala maofisa wa mechi?Huyu naye ni boya tu!
Kwa hiyo sasa anakiri kuwa Simba hawakuwa na hoja ya msingi kususia mechi, badala yake hoja inakuja baada ya bodi ya ligi kukubali ulagaghai wa Simba! What a freak!
Huyu alikesha na makanuni usiku mzima akiwaaminisha watu kuwa Simba ina hoja ya kususia mechi! Sasa hivi anajificha kwenye mgongo wa makosa ya bodi ya ligi!
Hawa ndio thinkers wetu Tanzania kwenye michezo!
Bishana kwa hoja au wewe nawe ni kati ya wanaoamini kuwa Yanga watapewa points 3 za mezani?Nilisikia watu wana msifia kanyooka, nilitamani nione kipi kipya cha maana alichoongea. Kumbe hoja zenyewe ndio hizi halafu watu ndio wanaona jamaa kichwa haswa. Kama huyu ndio anaonekana ni mtoa madini basi Watanzania wana upungufu wa maarifa.
Wameweka kanuni ila hakuweka sababu za msingi katika hiyo taarifa. Katika kanuni waliyoweka ina state kuwa mechi inaweza kuhairisha kama kuna sababu za msingi ama dharura. Sasa hao bodi ya ligi wangekuwa na uweledi kama wangesema hizo dharura au sababu ya msingi katika tukio lile ni lipi.Ukisoma vizuri barua ya bodi utaona kuwa wameahirisha kwa sababu za msingi na wameiweka kabisa kanuni inayowapa mamlaka ya kuahirisha mechi.Wamepokea taarifa ya Afisa Usalama wa mechi,hiyo ndiyo wameitumia,sasa wewe hujui hata kwenye taarifa ya Afisa Usalama wa mechi ambaye pia ni Afisa wa jeshi la polisi amesema nini unabisha tu.
Wanawapotezaje Simba tuanzie hapo? Hicho alichosema hapo ndio kawapoteza Simba? Punguza mihemko...andiko refu ,Pana limejaa pumba tupuHuyu Jemedari mnayemsifia na yule anayejiita mzee wa jambia ndo watetezi wa simba. Hawa jamaa ndo wanawapoteza simba kwa kuamini kwamba propaganda zao na chuki zao kwa Yanga zitawapa mafanikio.