Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

Ushamba tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
Kati ya viongozi wanaojielewa CDF ni namba 1. Anakatiza kitaa kama kawa.

not but pray.
 
Mkuu wa majeshi hana msafara?
Sijasema hana msafara, ila sio huo wa kukuta watu eti wananing'inia na mi bunduki, mfano mzuri enzi zile za mwamunyange, waulize watu wa mbezi beach, walikuwa wanashangaa kama ni yeye ndio anapita hakuna mishemishe kabisa!! Hayo mambo ni hulka ya mtu, tu ndio maana akistafu anapata shida sana, mwisho wa siku lazima awahi kufa!! Tungepata na kabila lake huyo tungeweza kwenda mbele zaidi inawezekana analaumiwa bure tu
 
Hahaha...hawa watakua ndo wanaokula matunda ya nchi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanadai eti wao ndiyo binadamu kamili, sisi ni wadudu tu..πŸ™πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜•
 
Hio ya wavaa suti ila wao hawaweki watu pembeni wao ving'ora tu huku wana advance na mikwara ya hapa na pale kwa wazembeaji
 
... huyu jamaa sijui ana tatizo gani. Mbona Jenerali Mabeyo tunapishana naye mitaa ya Segerea kila siku kikawaida kabisa bila wananchi kuwekwa pembeni au kugandishwa kwenye foleni. Anasahau kila mtu anawahi kwenye mihangaiko yake na sio yeye tu.

Si kweli Mabeyo pia ana msafara tena mkubwakuliko wa huyo mwingine mwenye gari tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…