Huyu kijana Amedhalilika sana

Huyu kijana Amedhalilika sana

Ni sawa si kwa mazingira ya dharau hivyo.
Option yako ya kwanza ndio Maturity huja.
MC na familia imeanza dharau asubuhi mapema kabisa.Kuna busara hutumika kwa wenye akili sio hao.
Hizo busara ndg yangu lazima upate kibali kutoka kwa Mungu, material things huwachanganya wengi,hasa hawa wanaozipata kwa urahisi according to their strong network!!
 
Pangechimbika,ningeenda kumnong'oneza 'acha zarau na kejeli'
 
SHIDA SIKU HIZI KILA MTU MC,YUHU FALA HAJUI UMC NA MIPAKA YAKE!!!
 
Unavikataa kwani umepewe wewe, hio ni zawadi ya mke ,ila wangekua waungwana wangesema vijana wetu tunawapatia nyumba na viwanja ila walishaanza kuivunja ndoa hata kabla haijaanza , na MC ndio kanya kabisa poor choice words alikosa hekima
Ningekuwa mm ,I cannot be summoned like mangoore no never . Ningeondoka ukumbini this is disrespect of high level
 
Back
Top Bottom