Huyu kijana Amedhalilika sana

Huyu kijana Amedhalilika sana

Mimi uyo MC asingeamini mana nisingenyanyuka Kwa Ujinga wake huo, Kuna MC wanajichetua sana Kiazi kweli uyo
 
Mwanetu tumekupa, badala ya kusema watoto wetu tunawapa zawadi ya abcdefg, itapendeza kama mwanaume ana kazi nzuri isiyopungua mshahara wa 5M na biashara za nguvu, otherwise hawezi kuwa head of household never
 
Dharau na unyanyasaji mkubwa sana.Ila kwa kuwa sio sisi ni rahisi sana kuona kawaida.

Ukiona hali kama hizi usigeuke...ondoka zako mbali.
 
Kama sitakua na say nazo kisheria, hizo mali sizitaki kwenye mji wangu! Na hapa naamanisha mji kama mume na mke,maana watowaji wa hizo zawadi wesha tubagua! Ila tusiwalaumu sana na vyao,wana haki ya kumpaa wamtakae!!
 
Kipi Bora? Air mdangaji au mtoto wa tajiri?
Mzee maisha hayo huko..kuna mambo mengi ya kufanya maisha haya.
Ogopa sana dharau kwa Mwanaume kama huyo jamaa hapo.
Hela ya mwanamke haijawahi kuwa ya mwanaume..
Umeshaambiwa utakula kwa jasho wewe unataka kwenda kuzaa kwa uchungu..
 
Kama sitakua na say nazo kisheria, hizo mali sizitaki kwenye mji wangu! Na hapa naamanisha mji kama mume na mke,maana watowaji wa hizo zawadi wesha tubagua! Ila tusiwalaumu sana na vyao,wana haki ya kumpaa wamtakae!!
Ni sawa si kwa mazingira ya dharau hivyo.
Option yako ya kwanza ndio Maturity huja.
MC na familia imeanza dharau asubuhi mapema kabisa.Kuna busara hutumika kwa wenye akili sio hao.
 
Mzee maisha hayo huko..kuna mambo mengi ya kufanya maisha haya.
Ogopa sana dharau kwa Mwanaume kama huyo jamaa hapo.
Hela ya mwanamke haijawahi kuwa ya mwanaume..
Umeshaambiwa utakula kwa jasho wewe unataka kwenda kuzaa kwa uchungu..
Hajalazimishwa kuoa huyo mwanamke. Atakua namna ya kuvumilia dharau
 
Back
Top Bottom