Huyu kijana Amedhalilika sana

Huyu kijana Amedhalilika sana

Kama namuona jamaa akisema "Mke wangu naomba uniazime gari yako niende nayo mahala"
 
Maoni yanatolewa kwa mihemko ya hasira kwa alichofanyawiwa mume mtarajiwa. 🤣

Jamaa kakosewa na MC ila kwa upande wa mali amwachie mke mtarajiwa. Mpaka amefika hatua ya kuoa sio mjinga. Na huenda atakayepata tabu na tambo hizi za wazazi ni binti.
Kosa la mc ila hasira wanammwagia dada wa watu🤣🤣🤣

Wanasahau hiyo ni send off na zawadi zinatolewa na familia kwa binti yao.
 
Huu uzi umejaa wachawi aisee, nilitarajia muwaombee ndoa yao idumu nyie ndo mnaloga sasa. Anyways kwa mimi nilishawahi kushuhudia ndoa ya hivi na ilidumu kwa muda mrefu tu , japo ndugu wa mke walikuwa hawamtaki jamaa kwa sababu ya umasikini wake.
 
vijana wa kisukuma mnaporomoka kiupambanaji

haya ni mambo ya aibu kabisa kwa muoaji anaejielewa bwana harusi unaitwa kama kibega hii aivumiliki kabisa
 
Kosa la mc ila hasira wanammwagia dada wa watu🤣🤣🤣

Wanasahau hiyo ni send off na zawadi zinatolewa na familia kwa binti yao.
Wamwachie binti zawadi zake. Kuna wazazi wanawekeza kwa watoto ila kwa masharti. Inaweza kuwa akihitimu chuo kikuu atapewa zawadi ya pesa na kiwanja na akifunga ndoa zawadi ya nyumba. Asipofanikiwa wanajua wao watashughulika naye vipi.

Wazazi hawawezi onyesha upendo kwa mtoto wasiyemjua
 
vijana wa kisukuma mnaporomoka kiupambanaji

haya ni mambo ya aibu kabisa kwa muoaji anaejielewa bwana harusi unaitwa kama kibega hii aivumiliki kabisa
Umekurupuka kuandika ulichoandika. Aibu ya nini? Ulitaka afanyaje mke mtarajiwa anapopewa zawadi na wazazi wake kwenye sendoff? Ni kosa mwanamke kupewa zawadi?
 
Umekurupuka kuandika ulichoandika. Aibu ya nini? Ulitaka afanyaje mke mtarajiwa anapopewa zawadi na wazazi wake kwenye sendoff? Ni kosa mwanamke kupewa zawadi?
hujanielewa nafikiri au umelewa kengeza kijana wangu
 
vijana wa kisukuma mnaporomoka kiupambanaji

haya ni mambo ya aibu kabisa kwa muoaji anaejielewa bwana harusi unaitwa kama kibega hii aivumiliki kabisa
Kwani umeambiwa kijana ni choka mbaya?
 
Emotional intelligence ni tatizo sana kwa wengi.

Mtu akishakuwa tu MUIGIZAJI basi anabwatuka tu lolote na kujiita MC.

Nimelia mno.
 
Back
Top Bottom