Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Kwenye hili hapana. Wazazi wanatoa zawadi kwa mtoto wao hawawezi mpa mwanaume ambaye hajaoa. Kumbuka hiyo ni send off huyo hajawa mume tayari anaweza badili maamuzi dakika yoyote.Mkuu kwanza familia ya mwanamke wamemdharau sana, wameshindwa nn kuorodhesha hivyo vitu kwa jina la mkwe wao badala ya Binti yao?