mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Ningekuwa Mimi ndo ungekuwa mwisho wa mchakato wa harusi ningepotea mazima n kuendelea na mishe zangu na ungekuwa msala kwa MC.Kutokujiamini na kuwa na misimamo kama mwanaume imewagharimu wanaume wengi sana kwenye mahusiano na hata ndoa.Usimshobokee demu hadi aone huna pa kwenda , tambua mwanaume unaweza poteza na ukapata kilicho bora kuliko ulichopoteza.Men stand up!!!!