Huyu kijana Amedhalilika sana

Huyu kijana Amedhalilika sana

Kwani kapewa yeye, si unasikia mama anasema "Debora tunaKUpa nyumba..."
Huwezi kuumpa zawadi yoyote mke wangu bila concern yangu kama Mume, je kama ni hawara wa Deborah ndiyo katoa hizo zawadi kupitia mama mkwe utajuawaje!!?? Mwanaume usikubali haraka haraka kila kitu kutoka ukwenu hata kama kapewa mkeo,chunguza kwanza
Kwani kapewa yeye, si unasikia mama anasema "Debora tunaKUpa nyumba..."
 
Kijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
Sioni tatizo hapo labda wachangiaji wengi humu ndani wanamentality za kimasikini waazazi wa bi harusi wamefurahi mtoto wao kuolewa na kwa kuwa wanamali nyingi wamempa kama zawadi baadhi ya mali sasa hapo shida kwa bwana harusi ipo wapi..?
maana mali ni za debora na amepewa na wazazi wake..

Ningekuwa mimi ningeomba mike kabisa ni weke sawa hali ya hewa ningewaambia wazazi wa mke wangu asanteni sana kwa kumpa debora zawadi mimi nitamsaidia kuzitunza na kuziongeza zaidi ili debora na watoto wetu wawe na mali nyingi zaidi.
 
Huwezi kuumpa zawadi yoyote mke wangu bila concern yangu kama Mume, je kama ni hawara wa Deborah ndiyo katoa hizo zawadi kupitia mama mkwe utajuawaje!!?? Mwanaume usikubali haraka haraka kila kitu kutoka ukwenu hata kama kapewa mkeo,chunguza kwanza
Nani atakupa zawadi wewe...
acha wivu huo..
 
Anaingia kwenye ndoa kama gongowazi ni mwendo wa kalkuleta tu na bado havuki hatua ya makundi😃
Sema MC nae jau sana kulikuwa na sababu gani kumuita vile.Sema unyonge nao sio.Ningekuwa bwana harusi huyu MC ningemfanyia kitu inaitwa ubaya ubwela yani angekula kwanja lile la Mchomvu kwa Mbasha cha mtoto bila kusahau jingle ya Dj mafuvu baada ya kutekeleza jambo langu
 
Hakuna mwanaume fala 😃😃😃
Uyo mwamba anautulivu Sana naamini kichwani amefanya calculations sahahi
 
Back
Top Bottom