Hizo sehemu huwa zinataka maamuzi ya haraka hata kama ni mbele za watu, hapo inapaswa unamuambia hapo hapo "niite kwa jina langu na si kabila langu, na uniite kwa heshima"...
Au mfuate baada sherehe, akizingua ni kofi ama mitama, ili kusudi asije rudia kwa wengine...
MCs wana hio tabia kutumia umati kutaka sifa, haangalii we ni mtu wa matani au la!! yeye anataka kuchekesha umati hali ya kuwa anakuumiza na kutumia kama kinga kwamba hata akikuongea vibaya anasingizia ni utani,na huwezi jibu mbele za watu au kufanya lolote.
Will Smith nilimsifu alipomkata kofi CHris Rock...