Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

Huyo wa 10k tu unachichima hivyo ni wazi unadumisha na kutekeleza kwa vitendo Irani ya wanaume safi sana
 
Una umri gani?
Umem-treat vibaya, ameelewa kabisa hiyo nia yako ovu.
Jifunze namna bora ya kumtreat mwanamke.
 
Acheni kujitetemesha nyie vijana, toeni hela...
Ugumu ni pale unapojiuliza, hizo shida huwa anatatuaje kama hakuna wa kumbomu? Au ndo ujasiriamali? Ukitongozwa, unageuza ajira?
 
Wewe boya kweli kabisa Yani akope akija kwako utampa na unauwezo wakumpa boya mkubwa
 
Mademu siku hizi hawanyimi namba, ukimtongoza tu tayari anasikia njaa hapo hapo.... na mama’ke anaumwa!
 
Hivi hawa wasichana wa siku hizi mama zao ndio wanawafundisha ujinga..kuwa na mtu wa maana indirect mwenye fwedha
 
Ameona kua hukumuamini kumtumia hiyo elfu 10
Kama ulikua na uwezo hata wakumpa elfu 70 kwanini hukumtumia hiyo elfu 10 aliyokuomba?
Amejiridhisha kua wewe humuamini japo uamuzi wake ni wa haraka sana na ni mapema sana.

Lakini that is too much! Second date tayari kaja na mzinga wa ten! Jamaa ana haki ys kumnyima, wanawake wapunguze kuomba omba pesa.
 
Haha ndo kauli zao hizi atakuambia ni muhimu kufahamiana kila mmoja anapoishi , ukienda hauna chako tena .
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwani utaiacha huko?
 
Yesu Kristen alisema ikiwa mmekosa uaminifu kwa jambo dogo. Itakuwaje kwa makubwa
 
Amekuona hauna malengo nae na pesa pia hauna yani elfu 10 tu imekushinda ? Ukiingia kwa style iyo tenga pesa ya kuonga!!
 
Haya mambo ungeyaanza zamani, usingekuja kutukalisha hapa. Kuwa mwanaume, mjusi guruguja we
 
Bora tu hujatuma na amekupunguzia mengi na makubwa zaidi usijilaumu mkuu
 
Enhe nambie inakuwaje ?
Imagine jamaa ameniita niende kwake sisi ni marafiki hatuna uhusiano wa kimapenzi wala nini kufika kwake jamaa anaomba mzigo unakataa mwisho wa siku unakubali hivyo hivyo tena hauna jinsi

Sasa hapo ndo shida inatokea maana hukuwa na mpango wa kutoka na huyo mtu ila ndo hivyo ishatokea ,kikubwa ni kukutana sehemu wazi na sio zilizo jificha kuondoa mambo hayo .
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…