Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

Hebu fanya umuulize mhusika, si bado mko kwenye Basi pamoja?
 
Una nyota ya mishangazzz
 
Kula vyakula vya kupewa na strangers kwenye mabasi kuna wenzio waliishia kuibiwa na kuzindukia wodini.

Labda kwa vile hukai naye siti moja,ungelizwa na kufedheheka hata kusimulia watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…