Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

buhaha apo askari wangu yote yanwezekana usikute amekupenda au ni huruma tu vitumbua viwili kiongozi mpaka dar
 
Ametoa sadaka kumsaidia masikini
 
naomba kusimama na wewe kinyume katika hili tajiri wangu, ni rahisi sana tu mwanamke kukusaidia without any motives..!!
Sisi hatuamini hilo, ndio maana ke akikusaidia moja kwa moja mtu anawaza hii pisi imeelewa mitupio, mikato au swaga za mchizi.

Wanawake wengi hawana shobo kama sisi wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…