Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Limbwata ni Haram kiongozi siwezi ruhusu ufanyiwe uharamia huo mjegeje umepewa uchapie kila mbuzi inayosumbua na kukatiza mbele yako
 
Amekwishaaaa
 
mkeo kashapungua? Una mambo mengi wewe#
Mke niliyokuwa namtumainia ndio huyo hanitaki muda wote nilikuwa najipa matumaini kumbe ananilaghai acha nikamroge lazima anyooke tu
 
Wakati wewe unapoteza muda na rasilimali kuna wengine wanapiga hapo kirahisi kabisa. Kila mwanamke moyoni ana mwanaume ambae yupo tayari kuvunja sheria zake kwa ajiri yake, ukiona mwanamke hayupo tayari kuvunja sheria zake kwa ajiri yako jua tu wewe sio huyo mwanaume. Respect yourself nigga, don't be a simp.
 
🤣🤣🤣🤣
Mie nataka dawa ya kumtuliza.
Limbwata ni Haram yaani ni uharamia kabisa huwezi kumfanya mwanetu ndondocha wako

Kwanza huo mjeredi kapewa na Mungu achapie kila kondoo anayoichunga
 
Kwahiyo kula vyangu ni halali ila kumroga ni haram huu ushauri ni void
 
Dah watu tuko tofauti sana, nishawahi pga chini mtoto keki balaaa. mpaka rafiki yangu akaanza kulia, eti naachaje pisi ya kwendraaaa kama hiyo,mi walaaaaa sina habariiiii



Full stop,kwishaaaaaa
 
Ndg mtoa maada ushawahi kucheck movie za kihindi? kma bado basi ulipitwa ni ivi tafuta washikaji wako watatu kozi zingine wambie wadeshi kumubana chocho wamnyakue simu afu wewe tokea uwapige kiuongo na kweli😁 hapo lndo pakuanzia sasa hapo hawezi kuchomoka
 
Ahhhh wewe unaonekana una kapepo la kishirikina
 
Huu ni utoto sasa mtu mzima hawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…