Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Ndio maana amekukataa, badala kupambana kuwa bora, unapambana kumtongoza mtu kwa muongo mmoja!
Pathetic fool
 
Nna bibi yangu ni mtata mbayaa
Leta nimuone kwanza

Nisije msumbua bibi kumbe kimtu tu
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Achana naye, usipoteze muda wako.
 
Nnzi kufa kwenye kidonda sio ufala, ila kupenda,
Baada ya miaka 10 ukija kusoma hii mada Yako utajikuta unajicheka, totoz zilivyojaa mtaani unateseka na huyo mmoja muda wote huo?(Ina tv ndani?) Hapo ashakujua kuwa wewe ni bwege kwake na huna Cha kumfanya, afu unafkiri kumloga mtu ni rahisi eh km unavyofikiri?
Kata mawasiliano kuanzia simu,zawadi, focus na maisha yako ndani ya miezi 6 huyo utakuwa utakuwa unamwona kawaida tu, embu hizo Hela ulizokuwa unampa jaribu ata kumnunulia mama kitenge man utapata thawabu!
 
Mwenye mapepo ndio huyo alokula vyangu halafu dk za jioni eti hanitaki huo ni ushirikina mkuu
Tumia psychology
Utapotezaje muda kwa mtu aliyekutumia kwa faida yake?

Je ulijua hakutaki?
Una uhakika gani kama atakukubali tena?

Kwa nini umechelewa kumwambia ukweli ?

Je kumpa vizawadi ndio atakupenda?
Au ulitumia njia ya kumforce kupitia zawadi?

Na akikukubalia ili kukuridhisha mwishoni itakuaje?
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Acha kupanic bro huyo anasumbuliwa na Bikra anawaza anaachiaje kirahisi mali yake ishenyetwe akiona hivi hivi
 
Usipoangalia hayo unayoenda kumfanyia kwa mganga yatakurudia wewe mwenyewe.

Una akili kisoda hebu jiongeze kama hakutaki songa mbele acha ujinga
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Waganga wa siku hizi wengi mamende fikiria mara mbili uamuzi wako mkuu
 
Back
Top Bottom