Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Ukiona una gharamika na bado una baniwa elewa kwamba yupo anaye bembelezewa kupewa bure. Mwanaume epuka kutumiwa
 
Bro don't chase the queen, you keep on chasing the crown and the queen will come to you
 
Huyo mtaalamu mwenyewe unaemsaka ndio mimi sasa 😂🤣.

We njoo tu na kuki,mbuzi, ng'ombe ama ngamia.. inategemea na unataka tumfanye kitu gani,
 
Huyo mtaalamu mwenyewe unaemsaka ndio mimi sasa 😂🤣.

We njoo tu na kuki,mbuzi, ng'ombe ama ngamia.. inategemea na unataka tumfanye kitu gani,
Wewe huwezi kuwa mtaalam yani ke inakutaka unakataa

Wanaokataa mitongozo wote wanafaa kurogwa wafe
 
Nimevumilia kusoma kwangu kote nishamaliza masomo nipo na mishe zangu kama mwanaume izo mishe za midinyo hazikwepeki mkuu
Kusom amemaliza tafuta maisha Kwanza, SASA utailisha nini hiyo K. Hujui unataka matunzo?
 
Ukiona una gharamika na bado una baniwa elewa kwamba yupo anaye bembelezewa kupewa bure. Mwanaume epuka kutumiwa
Hii habari sijui anae anaempenda huwa siielwagi kabisa hata mwenyewe huwa namuuliza lakini hajawahi niambia huo upuuzi na siku akiniambia ndio siku ataona dunia chungu

Na siku nikimjua mchawi wangu vita nayeye inaanza upyaa "if I must die I should nobely die"
 
Kusom amemaliza tafuta maisha Kwanza, SASA utailisha nini hiyo K. Hujui unataka matunzo?
Nani kasema sina maisha, kiufupi hata yeye anajua mimi ni fighter ila anatumia ui introvert wangu kunitapeli nibakiwa na option moja tu sasa hivi kama mipesa nishamwagia Sana tu
 
Back
Top Bottom