To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Kukataa kwa hana anapoombwa alishindwa? Kitawapata na watoto wenu wa kike mkuukala hela kk wacha kimpatee
Kukataa kwa hana anapoombwa alishindwa? Kitawapata na watoto wenu wa kike mkuukala hela kk wacha kimpatee
wamezoea anapokea tu anapokea tu mtu si ndugu yako why?? liwe funzoo kupokea pokea kapokea vya mtu asiyepokeleka potelea pote roga mkuuuKukataa kwa hana anapoombwa alishindwa? Kitawapata na watoto wenu wa kike mkuu
Mganga nipo tayari, karibu upate hitaji la moyo wako.Sasa kama hanitaki kwanini anilie vyangu
Mkuu km umevumilia miaka yote hiyo usijali ipo siku tu atajisaidia vichakani we la muhimu hapo ni kutembea na kucha ya kunguruSi anakojolea chooni mkuu nitauwekaje ukucha au humohumo kwenye sink
Ahsante mkuu siwezi kukubali kirahisi rahisi mganga ataamua katika hili huyo ndo kipenga cha mwisho kwanguwamezoea anapokea tu anapokea tu mtu si ndugu yako why?? liwe funzoo kupokea pokea kapokea vya mtu asiyepokeleka potelea pote roga mkuuu
Malengo gani na hakutaki.Ukikataliwa,Katalika tatizo lenu nyinyi wajinga mnataka kushindana na Mipango ya Mungu..Mungu kuna kitu anakuepusha hapo usilazimishe we mburukenge🤣Mkuu mimi sio domo zege sema yule binti nina malengo nae
Mkuu ingekuwa hivyo Mungu angeanza kuniepusha pesa zangu zisiliweMalengo gani na hakutaki.Ukikataliwa,Katalika tatizo lenu nyinyi wajinga mnataka kushindana na Mipango ya Mungu..Mungu kuna kitu anakuepusha hapo usilazimishe we mburukenge🤣
Kumbe wewe ni mbishiiii...Mzee Endelea na ukimpata Muoe kabisa ila usisahau kutulea mrejesho juu ya hilo penzi lako unalolazimisha🤣Mkuu ingekuwa hivyo Mungu angeanza kuniepusha pesa zangu zisiliwe
Nilimpiga na miti shambaukampiga ma nini? akawaje?
😂😂😂Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Kwahiyo unaenda kumrogaNgoja kwanza nikishafanya yangu shobo nitatoa kabisa sio kupunguza tena