Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Chief sikupingi.hata mm kuna falla alikuwa anajiona keki kipnd hcho nilimpga michano akanichonolea nikavumilia miaka 5 bado akawa anachomoa halaf mshez kanona kchz nikaona ni ufalla nikampga manyau nyau ***** kilichofata baada ya hapo n mimba na mtoto juu mm nilipambania hisia zangu na nilishda vita
Hongera sana mkuu. Taifa linahitaji vijana jasiri kama wewe.
 
Chief sikupingi.hata mm kuna falla alikuwa anajiona keki kipnd hcho nilimpga michano akanichonolea nikavumilia miaka 5 bado akawa anachomoa halaf mshez kanona kchz nikaona ni ufalla nikampga manyau nyau ***** kilichofata baada ya hapo n mimba na mtoto juu mm nilipambania hisia zangu na nilishda vita

ukampiga ma nini? akawaje?
 
Hii story yako itajirudia na kwangu pia siwezi muacha hivi hivi nitakuwa fala
 
Mkuu haya maandishi yako yameniuma sana yani huwa moyo hautaki kukubali kuwa ana mtu mwingine hiyo kitu nishashindwa kabisa
Unahitaju kuumizwa zaidi ili akili na hisia zikae sawa. Inaitwa character development

Hata hivyo pambana pengine unaweza pata najiba unayoyataka au ukawa broken beyond repair
 
Unahitaju kuumizwa zaidi ili akili na hisia zikae sawa. Inaitwa character development

Hata hivyo pambana pengine unaweza pata najiba unayoyataka au ukawa broken beyond repair
Kibao kitageuka ni zamu yake kuumia watu wengi tu kule kwetu wanapigwa kipapai wanatulia
 
Unavyozidi kumganda ndio unamkosa kabisa, punguza shobo uone kama hujamnasa.
 
ChatGPT Answer

Nimeona umetoa maelezo ya hali ilivyo, na kuna baadhi ya pointi muhimu za kuzingatia hapa. Kwanza kabisa, ni muhimu kuelewa jambo hili: kila mtu ana haki ya kusema hapendi au anakataa, na hakuwezi kulazimishwa kwa njia yoyote – haijalishi umemfanyia nini awali. Hii ni haki yake ya kibinafsi na heshima.

Ukisema “mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam” inaonekana kama unamaanisha kujaribu kumlazimisha au kutumia njia za kisheria/kinyume cha sheria. Hii ni hatari sana, kwa sababu:

1. Kukata tamaa au kumtisha mtu kupewa chochote ni kinyume cha sheria. Hata hivyo mtaalam wa kisheria au ‘specialist’ hawezi kukufanyia mtu awepo nawe bila ridhaa yake.

2. Heshima na hiari ni msingi wa mahusiano yoyote. Hakuna zawadi, hongo, au mambo mengine yanayoweza kulazimisha mtu kuingia kwenye mahusiano bila ridhaa.

3. Kumfanyia mtu pressure kisa ‘hard way’ ni hatari – inaweza kupelekea matatizo makubwa kisheria, kiakili, na kijamii.

Mbinu bora ni:

Kukubali hakutaki: Hii ni hatua ya kwanza ya kutojihatarisha na kuendelea kuwa na heshima kwa kila mmoja.

Jenga maisha yako bila kumlazimisha: Badala ya kumfikia kwa njia zisizo sahihi, weka nguvu zako kwenye maendeleo yako, masomo, kazi, au mahusiano yenye hiari.

Kujenga uelewa wa kibinafsi: Kucheza role ya “hard way” haimaanishi matokeo mazuri. Ni bora kuelewa “hapana” ni jibu halali na kuendelea mbele.

Kazanazo najua hii ni ngumu sana kihemko kwa sababu umewekeza muda na nguvu zako, lakini kushughulikia hisia zako kwa njia shufwa na yenye heshima ndiyo njia pekee ya kuepuka matatizo makubwa.
ChatGPT Answer:
We kuweza?
 
Mwanamke yupo pekee yake? Na kwann unatumia pesa kwa mwanamke ambaye sio wako?
 
Mh, sababu ya mapenzi?
Hapana bro,ruhusu moyo ukate tamaa...usijekosea masharti huko ukampa uchizi mtoto wa watu
Hatuwezi pata kilakitu maishani tafadhali
Nimeondoka na hii😍😍
 
Back
Top Bottom