Nayaomba majina yake ma3 na namba yake ya simu nikusaidie...... Mm mtaalamu au njoo pm nikuelekez .....alafu hela ya malipo katoe msikitini au saidia masikini yoyote yule ...ila iwe kuanzia 20,000/= isiwe chin ya hapo na Kama utaongez ni Wew
Hata wengine tulishapitia,nakuambia ukweli,ukila tu, unakinai chaaaapMkuu huyu mdada nampenda kweli na hata ndugu zake wanajua kipindi tunasoma olevel kwao kulikuwa kama kwetu sasa nikadhani yupo serious na love kumbe ni ulaghai
yaani unakweda kuliwa zaidi, sababu ukianza mambo ya wataalamu hutakaa uache. acha kabisa nduguNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Mkuu haya maandishi yako yameniuma sana yani huwa moyo hautaki kukubali kuwa ana mtu mwingine hiyo kitu nishashindwa kabisaHivi ni nani alisema mwanamke ukimtaka lazma umpate?...
Fikiria mkuu, kama mwanamke kamkataa toka wapo O-level hadi chuoni ambapo hata love huwa ipo kiasi flani kwa random dates. Unadhani shida ni kipato au ni kuwa tu hamtaki au kuna vitu havimvutii kuhusu jamaa
Mbaya zaidi, kwa wengi wakikataliwa ndio wanazidisha upendo zaidi bila kujua wanazidisha usumbufu tu na kuonekana ving'ang'anizi kiasi cha kupoteza haiba na mamlaka ya kiume. Mwisho wa siku wanakataliwa zaidi
Ukiona mtu umempa care ya kutosha kwa miaka na ulipoamua kumkalia kimya na yeye akakaa kimya. Hii inamaanisha uwepo wako kwenye maisha yake ni sifuri yani hata care yako haijali. Kiufupi haupendwi
Yani labda kama ana mtu wake wa muda mrefu halafu jamaa ampige tukio. Hapo ndo anaweza pata nafasi kama spare tyre. Kinyume na hapo asahau
Nataka niongee nae Kwanza kabla sijafanya dawa zangu Mana nikifanya dawa zangu kutengua ni mpaka ipite miaka mi 5majina na namba umpigie umpe siri ya huyu au?
Kwani umeambiwa ana cha rangi ama...mwanaume hatupaswi kuwa king'ang'anizi kwa mwanamkeNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Samahani mkuu huyu unaemuongelea kama namfaham jina linaanza na "S" na linaishia na "i" amesoma dom😂😂hata mm ilinitokea, tangu form 2 nikakataliwa tukamaliza four, tukatengana nikamaliza six nikarudi kumtafuta tena😄, akaenda kawe dar mm Moro...nikamtumia rafiki yake ikashindikana...mwaka Jana alifariki kwa changamoto za uzazi ...hata sisahau Hadi kesho japo nilishaoa miaka mingi😆😆
Kila siku tunasema humu..Mkuu haya maandishi yako yameniuma sana yani huwa moyo hautaki kukubali kuwa ana mtu mwingine hiyo kitu nishashindwa kabisa
Na hela ya boom wamekula wote 🤣🤣Haki ya nani hii siyo nzuri kabisa, shemeji Joanah unapitaje huku bila kutuita? 😂
Huyu kijana anahitaji maombi ya ziada 😂
Wajumbe kuna mtu anataka kuroga, kijana anajitoa ila binti hataki kutoa...
Intelligent businessman Selikavu dosho12 Edo kissy
Halafu mbaya zaidi ukute boom ilikuwa 20% 😂Na hela ya boom wamekula wote 🤣🤣
Angalia usije ukajinyonga maana umri wenu huo ni hatari sana,we tangaza ndoa tu kama kweli uko serious...Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way