Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Mwanamke kama hataki basi muache aende zake.m, USIMROGEE..kulazimisha penzi wakati hakutaki ni sawaaa na kulazimisha kumeza bogaa babu utakunya tikiti..?😁😅
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
ndio dawa yao mkuu.. piga juju muweke kwenye chupa
 
UkimLoga haitasaidia kitu labda ujaribu kumRoga
 
Nayaomba majina yake ma3 na namba yake ya simu nikusaidie...... Mm mtaalamu au njoo pm nikuelekez .....alafu hela ya malipo katoe msikitini au saidia masikini yoyote yule ...ila iwe kuanzia 20,000/= isiwe chin ya hapo na Kama utaongez ni Wew
Kuna watu wataingia mkenge kukufata PM ili uwabamize vizuri

Kila la kheri
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Ukishamdinya kamoko tu, unasahauri maumivu yote
 
Witchdoctor wanasaidia kweli?? Mi pia kuna ki binti kinanisumbua
 
Hapo ulipo una kipato? Kinachokutosha mahitaji yako yote na yeye akiwamo comfortably?

Sio unaombwa bando la mwez msg hujibu tena! Ama anakuomba kiasi flan unaanza Dana Dana!

Sikia ndugu, unaonekana hujajipata namna yeye anaona utamfaa kwenye safari yenu ya maisha !

Mara nyingi ni ngumu sana classmates kuoana , mnaweza kuwa wapenzi tu sio ile serious, yeye anakuona kama hujamature kuhandle majukumu ama kipato kidogo, wewe upo unakomaa tu unamtaka ! Mara nyingi mwanamke anaangalia aliemzidi kuanzia umri, kipato, care n.k n.k !

K zipo tu focus na uchumi wako kwanza ! Wanaume hatuzeeki ! Focus focus focus
Hivi ni nani alisema mwanamke ukimtaka lazma umpate?...

Fikiria mkuu, kama mwanamke kamkataa toka wapo O-level hadi chuoni ambapo hata love huwa ipo kiasi flani kwa random dates. Unadhani shida ni kipato au ni kuwa tu hamtaki au kuna vitu havimvutii kuhusu jamaa

Mbaya zaidi, kwa wengi wakikataliwa ndio wanazidisha upendo zaidi bila kujua wanazidisha usumbufu tu na kuonekana ving'ang'anizi kiasi cha kupoteza haiba na mamlaka ya kiume. Mwisho wa siku wanakataliwa zaidi

Ukiona mtu umempa care ya kutosha kwa miaka na ulipoamua kumkalia kimya na yeye akakaa kimya. Hii inamaanisha uwepo wako kwenye maisha yake ni sifuri yani hata care yako haijali. Kiufupi haupendwi

Yani labda kama ana mtu wake wa muda mrefu halafu jamaa ampige tukio. Hapo ndo anaweza pata nafasi kama spare tyre. Kinyume na hapo asahau
 
Back
Top Bottom