Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Daah mitani tena
 
Ndugu yangu epuka kuwekeza hisia za mapenzi kwenye urafiki, wanawake ni mabingwa wa kuzuga na urafiki uku wanakupiga viela mdogo mdogo.

Mwanamke akiwa rafiki usimtongoze hatokubali, we tengeneza mazingira mle kimasihara, lakini ukileta hatua za mapenzi hawezi kukuelewa.
Hii hatua nishawahi fika nae wakati tukiwa chuo nilipanga off campus alikuwa anakuja tunapika tunakula na story mbalimbali siku moja nilitaka kumla kimasihara alipiga kelele na kunidhalilisha getoni pale sitaweza kuisahau hii siku
 
Hii hatua nishawahi fika nae wakati tukiwa chuo nilipanga off campus alikuwa anakuja tunapika tunakula na story mbalimbali siku moja nilitaka kumla kimasihara alipiga kelele na kunidhalilisha getoni pale sitaweza kuisahau hii

Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the onl
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard
Bro hyu demu achananaye Wala usimroge mpotezee ingawa maumivu yake makali ila jitahid maana demu akishajua unampenda ndy Kama hivo anachezea hisia zako na akijua uchomoi
 
Hii hatua nishawahi fika nae wakati tukiwa chuo nilipanga off campus alikuwa anakuja tunapika tunakula na story mbalimbali siku moja nilitaka kumla kimasihara alipiga kelele na kunidhalilisha getoni pale sitaweza kuisahau hii siku
😂😂😂😂😂😂Basi uyo so rafiki wala mpenzi uyo ni mchawi ulitakiwa umwache haraka sana, afu unngeenda kumchukua rafiki ake, uo wivu wake angeleta koma mwenyewe😂😂😂😂
 
Mwanamke kama hataki basi muache aende zake.m, USIMROGEE..kulazimisha penzi wakati hakutaki ni sawaaa na kulazimisha kumeza bogaa babu utakunya tikiti..?😁😅
Mwanzo nilikuwa nadhani labda ni maadili ndio maana nikawa naenda nae mdogo mdogo nimekuja kujua yupo serious tulipo maliza yani hata kupokea au kujibu meseji ni shida
 
Kaa kimya kama ulikua una tabia ya kumshobokea acha mara moja kama kuna services ulikua unampa acha kabisaa futa namba zake!!!
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
UKIKATALIWA HUWENDA MUNGU ANA KUEPUSHA NA MADHILA WE JAMAA TAFUTA MWINGINE
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Unajua mganga atakuambia ana dawa ambayo ni lazima akuingizie kwa kidole njia ya haja kubwa,ndipo huyo dada atalogeka
 
Back
Top Bottom