Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Nayaomba majina yake ma3 na namba yake ya simu nikusaidie...... Mm mtaalamu au njoo pm nikuelekez .....alafu hela ya malipo katoe msikitini au saidia masikini yoyote yule ...ila iwe kuanzia 20,000/= isiwe chin ya hapo na Kama utaongez ni Wew
Hii mbinu ya kula demu wa mwenzio
 
Focus na shule wewe kenge huyo mwanamke atakupeleka pabaya kama mtu hakutaki achana nae
 
Chuo nishamaliza kitambo yani sasa ni mwendo wa kuwaza mbunye tu yule lazima nikakpige juju mkuu hawezi kunifanya poyoyo nimekataa
 
Kama lengo lako ni kumbandua tu then upite hv sawa, ila kama unafuture naye utateseka sana baadae ukimloga.
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Mbakee
 
Mroge tu mkuu

Tafuta majina yake matatu, picha zake angalau 2.

mzamie kwa wazee huko bagamoyo au Tanga
 
Kama lengo lako ni kumbandua tu then upite hv sawa, ila kama unafuture naye utateseka sana baadae ukimloga.
Nimewekeza kihisia na kirasilimali mkuu hebu fikiria toka tupo form two hadi chuo bado nipo nae kama ingekuwa ni tamaa ya kubaruza na kusepa ningeshaachana nae kitambo sana

Wasambaa ni waifu material kaka
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Acha hizo akili za kibongo tena unaweza ziita ajabu na kweli za tabaka la siii hasa,tena zile za kijani.
 
Ni vizuri ukaendelea na maisha yako maana kuna maisha baada ya kukataliwa.
 
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa

Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa

Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Hatari sana
 
Back
Top Bottom