Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

na uzuri yupo humu humu JF ashakuwahi tayari.Tunasubiria mrejesho wa uzi mpya usemao BINTI ALIYENIKATALIA KANIROGA.
 
na uzuri yupo humu humu JF ashakuwahi tayari.Tunasubiria mrejesho wa uzi mpya usemao BINTI ALIYENIKATALIA KANIROGA.
Mkuu Ile ni chombo ya kienyeji saizi inalima viazi kwao lushoto ndani ndani hakuna hata internet
 
Kashakula mkuu nazirudishaje sasa ili nimtumie bi mkubwa

Hizi haziwezi kupotea bure
 
Mkuu hata sijachelewa nimeanza kumtongoza toka form two hadi tumemaliza chuo utasemaje nimechelewa?
 
Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Pole sana kilichobakia ni kukuua

Kuna Movie moja niliicheck jamaa alimpenda sana manzi mmoja ila manzi alikua hampendi anampenda mwamba mwingine ambae ni mshenzi mshenzi tu yaan bad boy mbaya sana halafu kibaya bad boy hata hampendi huyo manzi kwa hio manzi akaenda kwa Sangoma kuroga jamaa ampende baada ya hapo akaenda kwa kufanya vidawa dawa jamaa akajaa wakakutana manzi akategesha mimba ikaingia bad boy alipogundua manzi ana mimba yake akamtosa manzi akabakia na mimba yake, jamaa anaempenda akamwambia anampenda yeye na mimba yake atalea na atafanya lolote kwa ajili yake manzi akamuuliza kweli upo tayari kufanya lolote kwa ajili yangu? Simp akajibu ndio nipo tayari kufanya lolote kwa ajili yako, manzi akaenda kabatini akachukua beto bonge la bisu jamaa wala hajamaliza kuzungumza akapiga beto la Shingo hajagugumia vizuri manzia akachomoa beto akamzaamisha tena cha tumbo kisha akamwambia km upo tayari kufanya lolote kwa ajili yangu basi kufa kwa ajili yangu mimi sikupendi wewe nampenda huyu alienitia mimba

Tafakari
 
Usipoangalia hayo unayoenda kumfanyia kwa mganga yatakurudia wewe mwenyewe.

Una akili kisoda hebu jiongeze kama hakutaki songa mbele acha ujinga
Yatanirudiaje sasa labda huyo mganga hajielewi
 
Huyo jamaa wa kwenye movie alikuwa fala mimi sio fala yani kitatokea kingine zaidi ya hicho yule fala atakuja kulia mbele yangu huku nikiwa sijali the revenge is real tulia uone
 
Huyo jamaa wa kwenye movie alikuwa fala mimi sio fala yani kitatokea kingine zaidi ya hicho yule fala atakuja kulia mbele yangu huku nikiwa sijali the revenge is real tulia uone
Atakuua ndio mwisho wa mchezo
 
Naenda kuiadhimishia kwa kumroga siku hiyo nitachinja mbuzi wa kafara
Ushaliwa pesa zako za Boom umeiambia Serikali kua kuna Malaya ulikua unachukua hela za Serikali kisha unampelekea yeye ukitegemea atakukabidhi mbunye yake milele kwa kutumia pesa za mkopo wa Serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…