Mkuu hili linaniuma sana Ile ng'ombe siwezi isamehe na solution ni kuiroga nisiingie hatiani ikishindikana ndere ya kumvuta nitamfanya abreed maisha yake yoteUshaliwa pesa zako za Boom umeiambia Serikali kua kuna Malaya ulikua unachukua hela za Serikali kisha unampelekea yeye ukitegemea atakukabidhi mbunye yake milele kwa kutumia pesa za mkopo wa Serikali?
Kama wewe si fala asingekula pesa zako zote hizoHuyo jamaa wa kwenye movie alikuwa fala mimi sio fala yani kitatokea kingine zaidi ya hicho yule fala atakuja kulia mbele yangu huku nikiwa sijali the revenge is real tulia uone
Huyo alokufa ndio fala mimi bado napumua mkuu nina nafasi ya kumsambaratisha huyu kupeKama wewe si fala asingekula pesa zako zote hizo
We nae fala tu utofauti wako na huyo wa kwenye Movie ni kua wewe bado haujafa
unasema ushatumia mbinu zote???????Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
SS ulikua unampa vya nn wakati ushaona hakutaki jmn?Sasa kama hanitaki kwanini anilie vyangu
Ujumbe umefikaàaaCha mwanaume hakiliwi wafunzeni mabinti zenu
Hii sio chai mkuu na siku nitaweka na historia yangu hapa ya mabinti niliyokutana nao katika masomo yangu hadi namaliza kuna mwingine hadi sasa nabaki kumuomba msamaha kimya kimya maana hata namba yake sina hakika yule binti nilimkosea sanaChai
Tuendelee tu kuishi, achana nayoKupambana kuwa bora kivipi mkuu
duh......una uhakika huyo unametongoza ni mwanamkeKama kuna iliyobaki basi ni mpya
Umenikumbusha mbali sana miaka hiyo kuna mwanamke mmoja hivyohivyo kama ilivyokutokea wewe alikuwa classmate wangu baadae tukakutana chuo nikachukua namba yake tukaanza kuchat baadae nikatupia ndoano tena.Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Pole bro ! Mimi nilizani masihara labda kwa sababu wewe sio mwandishi mkali.Sorry kwa hiloHii sio chai mkuu na siku nitaweka na historia yangu hapa ya mabinti niliyokutana nao katika masomo yangu hadi namaliza kuna mwingine hadi sasa nabaki kumuomba msamaha kimya kimya maana hata namba yake sina hakika yule binti nilimkosea sana
Know the right time to walk away laasivyo utajikuta unaangukia pua...you still have a life to live mkuu and huwezi jua uwenda hakua chaguo sahihi kwako Mungu amekuepusha.Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Usemayo ni kweli? Ulishawahi kumroga mtu dawa ikakosa nguvu kufanya kazi?Pole bro ! Mimi nilizani masihara labda kwa sababu wewe sio mwandishi mkali.Sorry kwa hilo
Ndumba Zina saidia ila dawa ikiisha nguvu , mpenzi yatayumba hata kupotea kabisa
Huyo wako hakuwa serious labda alikuwa anakuangalia msimamo wako tofauti na mimi nimeshampa msimamo na hata kwao baadhi ya ndugu wananijuaUmenikumbusha mbali sana miaka hiyo kuna mwanamke mmoja hivyohivyo kama ilivyokutokea wewe alikuwa classmate wangu baadae tukakutana chuo nikachukua namba yake tukaanza kuchat baadae nikatupia ndoano tena.
Kwa kawaida mimi kwenye mambo ya mapenzi huwa natanguliza akili kwanza hisia na moyo vinakaa nyuma.
Basi nimetupia ndoano mara ya kwanza,ya pili,ya tatu demu analeta maringo baadae nikauchuna.
Baadae ikapita miezi kadhaa anaona kimya,siku moja akanitumia meseji inayosomeka"Ina maana kumbe wewe ulikuwa unanijaribu,haukuwa serious si ndio"
Mimi nikamjibu,wewe si ulikataa sasa hapo nina makosa gani?
Cha msingi mkuu iko hivi,ukitumia nguvu sana huwapati hao viumbe nenda nao kwa step.