Black Tanzanite
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 585
- 773
Mwanamke kama hataki basi muache aende zake.m, USIMROGEE..kulazimisha penzi wakati hakutaki ni sawaaa na kulazimisha kumeza bogaa babu utakunya tikiti..?😁😅Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
ndio dawa yao mkuu.. piga juju muweke kwenye chupaNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
ILi na yeye akabakwe jela ?Jaribu the shortcut na umbake.
Hilo atalijadili baadaye akiwa selo.ILi na yeye akabakwe jela ?
Shida ndio ilianzia hapo 🤣Kumbe hujui kutongoza 😂😂
Hivi hadi jela za Bongo wanaume wanabakwa?ILi na yeye akabakwe jela ?
Anything can happenHivi hadi jela za Bongo wanaume wanabakwa?
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Kuna watu wataingia mkenge kukufata PM ili uwabamize vizuriNayaomba majina yake ma3 na namba yake ya simu nikusaidie...... Mm mtaalamu au njoo pm nikuelekez .....alafu hela ya malipo katoe msikitini au saidia masikini yoyote yule ...ila iwe kuanzia 20,000/= isiwe chin ya hapo na Kama utaongez ni Wew
Loooo! Kuna watu wameolewa huko…Hivi hadi jela za Bongo wanaume wanabakwa?
Ukishamdinya kamoko tu, unasahauri maumivu yoteNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Witchdoctor wanasaidia kweli?? Mi pia kuna ki binti kinanisumbuaNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Hivi ni nani alisema mwanamke ukimtaka lazma umpate?...Hapo ulipo una kipato? Kinachokutosha mahitaji yako yote na yeye akiwamo comfortably?
Sio unaombwa bando la mwez msg hujibu tena! Ama anakuomba kiasi flan unaanza Dana Dana!
Sikia ndugu, unaonekana hujajipata namna yeye anaona utamfaa kwenye safari yenu ya maisha !
Mara nyingi ni ngumu sana classmates kuoana , mnaweza kuwa wapenzi tu sio ile serious, yeye anakuona kama hujamature kuhandle majukumu ama kipato kidogo, wewe upo unakomaa tu unamtaka ! Mara nyingi mwanamke anaangalia aliemzidi kuanzia umri, kipato, care n.k n.k !
K zipo tu focus na uchumi wako kwanza ! Wanaume hatuzeeki ! Focus focus focus