Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Nayaomba majina yake ma3 na namba yake ya simu nikusaidie...... Mm mtaalamu au njoo pm nikuelekez .....alafu hela ya malipo katoe msikitini au saidia masikini yoyote yule ...ila iwe kuanzia 20,000/= isiwe chin ya hapo na Kama utaongez ni Wew

majina na namba umpigie umpe siri ya huyu au?
 
yaani unakweda kuliwa zaidi, sababu ukianza mambo ya wataalamu hutakaa uache. acha kabisa ndugu
 
Mkuu haya maandishi yako yameniuma sana yani huwa moyo hautaki kukubali kuwa ana mtu mwingine hiyo kitu nishashindwa kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚hata mm ilinitokea, tangu form 2 nikakataliwa tukamaliza four, tukatengana nikamaliza six nikarudi kumtafuta tenaπŸ˜„, akaenda kawe dar mm Moro...nikamtumia rafiki yake ikashindikana...mwaka Jana alifariki kwa changamoto za uzazi ...hata sisahau Hadi kesho japo nilishaoa miaka mingiπŸ˜†πŸ˜†
 
Kwani umeambiwa ana cha rangi ama...mwanaume hatupaswi kuwa king'ang'anizi kwa mwanamke
 
Samahani mkuu huyu unaemuongelea kama namfaham jina linaanza na "S" na linaishia na "i" amesoma dom
 
Mkuu haya maandishi yako yameniuma sana yani huwa moyo hautaki kukubali kuwa ana mtu mwingine hiyo kitu nishashindwa kabisa
Kila siku tunasema humu..

USIANZE KUMPA MWANAMKE HELA NYINGI KABLA HUJAMLA!

Lakini vijana hamsikii..

Wanawake wana akili sana, anajua kabisa SIKU AKIKUPA MZIGO TU, NDIO MWISHO wa kuvuna hela kutoka kwako. Kwahiyo anaendelea "kukushikilia" bila kukupa ili aendelee kukuvuna.
 
Angalia usije ukajinyonga maana umri wenu huo ni hatari sana,we tangaza ndoa tu kama kweli uko serious...
 
Ndugu yangu epuka kuwekeza hisia za mapenzi kwenye urafiki, wanawake ni mabingwa wa kuzuga na urafiki uku wanakupiga viela mdogo mdogo.

Mwanamke akiwa rafiki usimtongoze hatokubali, we tengeneza mazingira mle kimasihara, lakini ukileta hatua za mapenzi hawezi kukuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…